mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 618
Sijawahi ona dereva wa roli la masafa marefu mwanamke.
Yupo arusha
Sijawahi ona dereva wa roli la masafa marefu mwanamke.
Sijawahi kuona Paka Kwa Paka wakibanduana hadharani.
Sijawahi kuona Paka Kwa Paka wakibanduana hadharani.
Chama kingine kikitawala apart from ccmabwepande, kwa hapa tanzania!
Na hutakaa uone kamwe.nanaheshima kuliko sisi.
Namie sijawahi ona members wa Jf wakifanya ukisemacho, hata kwa siri !
Mkubwa Kijino kuna nchi inaitwa Norway nilishaenda kule nikaona wanaita 'midnight sun' hasahasa ukiwa kaskazini ya Norway panaitwa NORDCAPE jua 24 hrs ila ni baadhi ya miezi.
nenda mitaa ya southern or nothern hemisphere...jua kali kabiss halafu unaambiwa ndio usiku ushaingia
Sijawahi kuona Paka Kwa Paka wakibanduana hadharani.
wanabanduana kama binadamu, mwanamke analala chali, mwanaume anakuja kwa juu. Wanatoa miguno kama binadamu. Nshawah kuona.
Make some one shoot a clip for you when drivingcjawah kujiona naendesha gari.
nenda mitaa ya southern or nothern hemisphere...jua kali kabiss halafu unaambiwa ndio usiku ushaingia