Ni kawaida kuona mjusi mwenye mikia miwili nyumbani kwako?

May 23, 2023
30
63
Habari, naomba niende kwenye lengo la uzi.

Niliona mjusi mwenye mikia miwili ndani kwangu hii kitu ilinishtua sana.

Sasa hivi umri wangu unakaribia nusu karne ila sijawahi kuona wala jambo kama hili, sasa wana JF mniambie je, ni kawaida hii?
 
IMG_8850.jpg
 
Umekwisha ndugu, ni hatari kuishi na majirani wawili yaani kushoto na kulia kwa nyumba yako, nakushauri uhame haraka sana kwani hao majirani wanatesti mitambo kazi haijaanza.
 
😨😨😨hiyo ni ishara mbaya mkuu kama hujamuuwa ni Bora kuhama hiyo nyumba upesi
 
Mi niliona nyoka mwenye pembe. Ilikuwa mwaka juzi mkoani Morogoro, wilaya ya Mvuha, kata ya Bungu
 
Back
Top Bottom