mpepai
JF-Expert Member
- Nov 19, 2012
- 559
- 374
ushakuona mwanajeshi kilema ambaye ukilema wake unaingia naye kambini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimepitia huko na sikuona hayo kwa Asilimia 100. Hakuna uhusiano wowote kati ya Ukuhani wa kwenye Agano la Kale la Biblia na Upadri. Kwa sababu, sifa za ukuhani wa biblia zilikuwa hizi...Lkn kingine fuatilia kwa makini sana utaratibu wa ki katoriki utayaona hauo kalibia aslimia kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo kitu umepata wapi?Musa alikuwa na kigugugugugumizi na kithembe vyote kwa pamoja
Kuna mdau humu alidai kuwa wakati wa kufanyiwa usaili wa kwenda kwenye Upadri huwa wanafanyiwa jaribio fulani la kisiri siri la kuwadindisha na kumwaga manii.Katika kipengele cha hanithi mapadre wanapimwa vipi ili kujiridhisha kuwa ni wazima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Padre Robertus Walwa Jimbo Katoliki ShinyangaKusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je ni kigezo kimojawapo cha kuwa Padre?
Unaposhindwa kuongea vzuri nn maana yake?ulimi kuwa mzito ina maanisha nn?Mkuu hiyo kitu umepata wapi?
Nani kasema?
Wapi imeandikwa?
Unabahatisha?
Biblia inasema Musa alikuwa na tatizo kubwa la kushindwa kuongea vizuri kwa sababu ulimi wake ulikuwa mzito (Kutoka 4:10-.....).
Sasa ni sayansi ya wapi inayosema ulimi ukiwa mzito unapata kigugumizi?
Hapana,akipata ulemavu wakati akiwa padre atabaki kuwa padreYaah kazi baaasi
Musa hakua bubu,alikua na kigugumiziAsante sana.
Biblia inasema Musa alikuwa na ulemavu wa kuongea (Bubu!?), hakuwa na Uwezo wa kuongea kwa sauti akasikika na kuelewekeka. Na ni ulemavu aliokuwa nao hata kabla hajapata utume(kupakwa mafuta), na hata alipopakwa mafuta ya kwenda kutumikia kazi ya Mungu, Musa alikataa kwa sababu hiyo ya ulemavu huo. Mwisho wa siku Mungu akamchukua Haruni kuwa msaidizi wa Musa katika kuongea mbele za watu nk.
KUTOKA 4:10-17
Kanisa katoliki linatoa nafasi hiyo lwa watu ambao thay are fit physical and mentallyKusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je ni kigezo kimojawapo cha kuwa Padre?
usanii mtupuHupaswi kumtolea mungu sadaka yenye mapungufu,ktk biblia hakuna mpakwa mafuta aliyekuwa kilema au mwehu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hata vipofu wapo sisi kwetu kilema si shida ila hanithi hawezi kuwa imamVIPI KUHUSU MASHEIKH VILEMA!
Uongo wangu upi?
Mm nipo shinyanga huyo umsemaye yuko parokia gani?msiwe mnakrupuka uliza kwanza au fuatilia ujue nn tatizoUongo wangu upi?
Mkuu, ww uliwahi kwenda huko ukawaona na kushuhudia? Imagine kama kanisa dogo linahudhuriwa na watu takriban 200 na nyumba za ibada size hiyohiyo zikawa 50, itakuwa ni jumla ya watu 10,000. Je, huyo yesu wako wanayekula nyama yake na kunywa damu yake ana ukubwa kiasi gani? Ninakushauri, kama ukiona itakufaa, basi kanunue kitabu kinachoitwa Biblia halafu usome Injili ya Yohane 6:51-58. au ni heri uulize wahusika wakupe ufahamu kuliko ukaendelea na msimamo wako kama unavyosema. Vinginevyo nadhani ww na wale Wayahudi mko pamoja sana.Tafsiri ya neno kwa neno na shingo ngumu!Wanakula nyama na kunywa Damu ya Yesu kama wafanyavyo wapagani kwa kula nyama za watu waliowatoa sadaka.
Hey! Wacha we!. Mmh;Na figo ngapi?Papa Francis ana pafu moja tu.