Sijawahi kuona Padre kilema

Lkn kingine fuatilia kwa makini sana utaratibu wa ki katoriki utayaona hauo kalibia aslimia kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimepitia huko na sikuona hayo kwa Asilimia 100. Hakuna uhusiano wowote kati ya Ukuhani wa kwenye Agano la Kale la Biblia na Upadri. Kwa sababu, sifa za ukuhani wa biblia zilikuwa hizi...
1/Taifa: ISRAELI
2/Kabila: LAWI
3/Ukoo: HARUNI
4/Mahali: HEKALUNI
5/Kuapishwa(kupakwa mafuta): NA MUSA TU.

Hakuna padri wa kanisa Katoliki aliyewahi kuwa na sifa hizo kuu za kikuhani halisi wa kwenye biblia. Na hatatokea milele.

Mapadri ni wafanyakazi wa kudumu wa kanisa katoliki, wa jinsia ya kiume waliokatazwa kuoa. Sifa kuu za mapadri wa kanisa Katoliki ni hizi...
-Ukatoliki.
-Uvulana.
-Kutokuoa.
-Kujitolea.
 
Musa alikuwa na kigugugugugumizi na kithembe vyote kwa pamoja
Mkuu hiyo kitu umepata wapi?
Nani kasema?
Wapi imeandikwa?
Unabahatisha?

Biblia inasema Musa alikuwa na tatizo kubwa la kushindwa kuongea vizuri kwa sababu ulimi wake ulikuwa mzito (Kutoka 4:10-.....).

Sasa ni sayansi ya wapi inayosema ulimi ukiwa mzito unapata kigugumizi?
 
Askofu,mapadri hao ni makuhani ni wapakwa mafuta na utaratibu wote ni kama wa hao familia ya Haruni kwahiyo szani biblia kama unaielewa kwa undani jaribu kuwa mtu wa kuzama sana soma hv vitabu mwanzo 1 mpaka mwisho lkn kwa mapana zaidi pia kutoka 1 hadi mwisho utaelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo kitu umepata wapi?
Nani kasema?
Wapi imeandikwa?
Unabahatisha?

Biblia inasema Musa alikuwa na tatizo kubwa la kushindwa kuongea vizuri kwa sababu ulimi wake ulikuwa mzito (Kutoka 4:10-.....).

Sasa ni sayansi ya wapi inayosema ulimi ukiwa mzito unapata kigugumizi?
Unaposhindwa kuongea vzuri nn maana yake?ulimi kuwa mzito ina maanisha nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rev. Lewis Hiza
 

Attachments

  • 22.jpg
    22.jpg
    36.2 KB · Views: 23
hata mie sijawahi kuona huyo...........

mie najiulizaga,wale masumo wanatoka wapi?kila mchina ninayemuona ni mwembamba,sijawahi kumuona mchina overweight,mmnh
 
Asante sana.
Biblia inasema Musa alikuwa na ulemavu wa kuongea (Bubu!?), hakuwa na Uwezo wa kuongea kwa sauti akasikika na kuelewekeka. Na ni ulemavu aliokuwa nao hata kabla hajapata utume(kupakwa mafuta), na hata alipopakwa mafuta ya kwenda kutumikia kazi ya Mungu, Musa alikataa kwa sababu hiyo ya ulemavu huo. Mwisho wa siku Mungu akamchukua Haruni kuwa msaidizi wa Musa katika kuongea mbele za watu nk.

KUTOKA 4:10-17
Musa hakua bubu,alikua na kigugumizi

Bless I
 
Wanakula nyama na kunywa Damu ya Yesu kama wafanyavyo wapagani kwa kula nyama za watu waliowatoa sadaka.
Mkuu, ww uliwahi kwenda huko ukawaona na kushuhudia? Imagine kama kanisa dogo linahudhuriwa na watu takriban 200 na nyumba za ibada size hiyohiyo zikawa 50, itakuwa ni jumla ya watu 10,000. Je, huyo yesu wako wanayekula nyama yake na kunywa damu yake ana ukubwa kiasi gani? Ninakushauri, kama ukiona itakufaa, basi kanunue kitabu kinachoitwa Biblia halafu usome Injili ya Yohane 6:51-58. au ni heri uulize wahusika wakupe ufahamu kuliko ukaendelea na msimamo wako kama unavyosema. Vinginevyo nadhani ww na wale Wayahudi mko pamoja sana.Tafsiri ya neno kwa neno na shingo ngumu!
 
Back
Top Bottom