Sijawahi kuona Padre kilema

Kutoka 31:2.eti musa alikuwa mlemavu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda akipata kilema wanampuzisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ulitaka kusema wanampumzisha au? Jibu litakuwa hivi: Akipata ulemavu utakaomfanya ashindwe kutekeleza majukumu yake, jibu limetolewa hapo juu kwamba atapumzika kwa Askofu wake. Lakini ujue kwamba padre ana kazi nyingi anazofanya sio tu huduma ya madhabahuni (altareni) ikiwa ni pamoja na zile atakazopangiwa na kiongozi wake(Askofu) kwa kuzingatia Taaluma aliyonayo e.g. mwalimu, daktari, ICT n.k.
 

Sawa kama anamajukumu mengi uliyosema kwanini na hao wengine wasiwachukue ili wawe wanafanya hizo shughuli nyingine?!?
 
Mary Magdalene was very close to Jesus, very close even more than most disciples. Kuna hata injili aliyoandika Mary Magdalene, japo haijajumuishwa kwenye biblia ya sasa.
Kuna injili nyingi zilizoondolewa kwenye biblia ya sasa,
Mfano injili ya Thomas, Yuda.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sijui imekaaje! Ila kwa mapadre ni nadra sana kusikia anasema njoooni kwangu wenye mapepo niwaombee wasiojiweza watajiweza. Na toka nianze kusali katoliki mwaka wa 38 sasa sijawahi ona mtu kaanguka kisa pepo ndani ya kanisa.
Uko vizuri mkuu, lakini kwa habari ya mtu/watu kuanguka kwa visa vya mapepo, hebu hudhuria semina za kiroho zitolewazo na wanakarismatic au sehemu nyingine wanaitwa uamsho n.k. Kwa jimbo kuu la Arusha huduma zao zinaratibishwa chini ya Ofisi ya Askofu kitengo cha Uinjilishaji. Utaona.
 
Kusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je nikigezo kimojawapo cha kuwa Padre?
Huwezi kuwa Padri kama una ulemavu wowote ule hicho ni kigezo kimojawapo labda upate ulemavu ukiwa Padri tayari so mapadri wote walemavu unaowaona walipata ulemavu wakiwa tayari mapadre
 
Tafuta padri mmoja mtengue mkono/mguu au mtoboe macho uone kama hatakuwa mlemavu au ataacha upadri
 
Sasa kama alikuwa hawezi kuongea hata Mungu aliongea nae vipi? Haiingii akilini kuwa waliongea kwa ishara maana haikuandikwa hivyo ila alisema kuwa mimi siyo msemaji tangu utotoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi padre au kanisa katoliki walikuambia wanaponya viwete? Hawa cyo kama wale wenye makanisa yao binafsi wanaigiza kuponya viwete ili kujinufaisha. Tofautisha kanisa katoliki na ya kiroho
 
Huwezi kuwa Padri kama una ulemavu wowote ule hicho ni kigezo kimojawapo labda upate ulemavu ukiwa Padri tayari so mapadri wote walemavu unaowaona walipata ulemavu wakiwa tayari mapadre
Yap. Umesema vema kabisa. Mtoa mada angesema kwamba hajawahi kumwona padre mlemavu kwa kuzaliwa hapo ingekuwa "Game Over". Lakini yeye anasema hajawahi kumwona padre mlemavu. Pengine hapo sasa ni muda mwafaka aendelee na kazi ya kuwatafuta na atawaona kwani kwa uhakika wapo.
 
Kinachodhihirishwa katika uzi huu ni kwamba binadamu anapokuwa na kasoro fulani ya kimaumbile kuna kundi au jamii fulani ya watu umbeza japo viwango vya ubezaji vinaweza kutofautiana kati ya jamii moja na nyingine.
 
Hoja hujibiwa kwa hoja.

Biblia iko wazi kwa mambo mengi, baadhi ya mambo machache sana ndio mafumbo magumu yenye kuhitaji ufafanuzi na msaada wa hekima nk.

Sio lazima uhubiriwe kwanza ndio uijue biblia. Kila mtu anapaswa ajisomee mwenyewe biblia ili aelewe, hata kama hakuhubiriwa. Ndio maana siku hizi biblia zinagawiwa bure kwa watu wote na pia zinauzwa ili mtu yoyote anunue na kwenda kuisoma binafsi.

Lakini ukikaa chini wewe mwenyewe kwa unyenyekevu na Fikra huru basi utaelewa mambo mengi, tena vizuri tu katika biblia. Haihitaji uwe mkristo au kwenda vyuo vya biblia ili uweze kuisoma biblia na kuielewa. Tusiogope kusoma biblia sisi wenyewe bila kusukumwa na mitizamo ya kidini inayopenda kupotosha kwa Makusudi ili kuvuta upande wao.

Kuhusu hilo la Musa kuwa na ulemavu katika kuongea(speech Disability) liko wazi sana, limeandikwa kwa wazi kabisa katika Biblia KUTOKA 4:10-17
Sasa kwanini tuzunguke zunguke kutafsiri tofauti kama issue iko wazi?
Kuna ajabu gani katika hilo?
 
Kusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je nikigezo kimojawapo cha kuwa Padre?


HIVI USHOGA SIO KILEMA?? MAANA NIMEPATA KUSIKIA JAPO SINA UHAKIKA NA HILO, KUWA BAADHI YA MAPADRE NI MASHOGA
 
Kuwa karibu sawa ila hakuwahi kuitwa mwanamke kuwa mwanafunzi wa Yesu..! Ukumbuke baadhi ya wanafunzi walikuwa wanafunzi wa yohana..!

Nitajie kuhani wa kike aliyehusika katika kutoa dhabiu madhabahuni kabla na baada ya Yesu...??

Ni makanisa kanjanja kama haya ya kilokole wanaruhusu upuuzi huu katika kufanya maigizo yao ya kumega mkate na divai..!

Kwa kanisa katoliki hakuna upuuzi huu mwanamke kupanda madhabahuni. Kuadhimisha misa katatifu.

Desturi za waisrael walikatazwa kwenda sinagogini wamama wakiwa enzini...! Iweje apande madhabahu ya bwana kiwa na damu ya hedhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…