Sijawahi kuona Padre kilema

Sijawahi kuona Padre kilema

Mkuu sakrament ni nyingi tu,na hakuna anayepata zote,kwa mujibu wa kanisa. Lakini katika biblia hizo sakrament sijaziona ndio maana nimezungumzia kupakwa mafuta maana hilo lipo kibiblia,isijekuwa tunazungumzia vitu tofauti hapa. Je kuna mpakwa mafuta aliyekuwa mlemavu katika biblia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo walemavu wengi kwenye Biblia waliopakwa mafuta kutumikia kazi ya Mungu. Mmojawapo ni MUSA(Kutoka 4:10-17).
Hatuwezi kumpangia Mungu nani wa kwenda kumtumikia. Anaweza kumchagua yeyote pasipo kuzingatia Maumbile, Mapungufu, Umri au jinsia. Ndio maana biblia inawataja hadi watoto na wanawake waliopakwa mafuta ili kufanya kazi ya Mungu.
 
Hakunaga padre kilema duniani na kama ukikuta padre kilema. May be alipata ukilema akiwa padre lakini sifa ya kwanza kuwa padre unatakiwa uwe FITICALLY FITY NA PHYSICALY FIT YAAANI kila idara mpaka na kule kwENye RUNGU na ukipata ukilema ukiwa padre MAISHA YAKO YOTE YATAISHIA KARIBU NA KWA ASKOFU MAANA UTAKAA PAMOJA NA ASKOFU WAKO NYUMBA MOJA HUKU KILA KITU UKIFANYIWA KASORO KUOSHEWA NGUO ZA NDANI
 
Asante sana.
Biblia inasema Musa alikuwa na ulemavu wa kuongea (Bubu!?), hakuwa na Uwezo wa kuongea kwa sauti akasikika na kuelewekeka. Na ni ulemavu aliokuwa nao hata kabla hajapata utume(kupakwa mafuta), na hata alipopakwa mafuta ya kwenda kutumikia kazi ya Mungu, Musa alikataa kwa sababu hiyo ya ulemavu huo. Mwisho wa siku Mungu akamchukua Haruni kuwa msaidizi wa Musa katika kuongea mbele za watu nk.

KUTOKA 4:10-17

Ila Musa alikuwa mteule ila sio mpakwa mafuta. Biblia inasema Musa alipakwa mafuta?
 
Kwahiyo padri akipata ajali na kukakatika mguu anavuliwa upadri wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, wapo wenye miguu bandia au vyuma miguuni nk ila sio rahisi kuwajua. Ila wale wanaoathirika sana na ulemavu wanaenda kutunzwa kwenye nyumba zao, wapo hata wenye ulemavu wa akili wanatunzwa huko ndio maana huwezi kuwa ona hovyo

Ila huwezi ingia upadri au usista ukiwa na ulemavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Musa alikuwa mteule ila sio mpakwa mafuta. Biblia inasema Musa alipakwa mafuta?
Nadhani hiyo concept ya kupakwa mafuta hujaielewa vyema.

'Kupakwa mafuta' ni neno la kawaida kwenye biblia likiwa na maana mtu aliyeteuliwa na Mungu ili kwenda kuitumikia kazi fulani maalum ya Mungu. Hivyo neno mteule halina tofauti yoyote na Mpakwa mafuta.

Hivyo Musa alipakwa mafuta pia.
 
Kusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je nikigezo kimojawapo cha kuwa Padre?
Yap hawachukui mtu mwenye ulemavu wa Aina yeyote ile hata ulemavu wa nguvu Za kiume kutokuwa nazo hawautaki.
Otherwise upate ulemavu ukiwa tayari padre
 
Ndio ni kigezo kimojawapo...Na pia hakuna padre hanithi(ashakum si matusi)

Kwanini...?

Upadre na Sadaka(Sacrifice)...yani unajitoa mzima mzima kama ulivyo....Yani si una-opt kuwa padre kwasababu wewe ni mlemavu, au wewe audi.n...d ndio unakimbilia upadre..upadre ni Sadaka iliyosafi..ni kujitoa..bila kujibakiza..

Wajuzi watajazia nyama
Naunga mkono hoja.Nimepita huko .Hawataki uende upadre kisa unaenda kuficha udhaifu,wanataka sadaka inayouma.Ukiwa siyo rijali Sahau kuwa padre
 
Nadhani hiyo concept ya kupakwa mafuta hujaielewa vyema.

'Kupakwa mafuta' ni neno la kawaida kwenye biblia likiwa na maana mtu aliyeteuliwa na Mungu ili kwenda kuitumikia kazi fulani maalum ya Mungu. Hivyo neno mteule halina tofauti yoyote na Mpakwa mafuta.

Hivyo Musa alipakwa mafuta pia.

Ok unateuliwa na kama ishara unapakwa mafuta. Wafalme wengi waliteuliwa na Mungu lakini kama ishara walipakwa mafuta physically kabisa.
 
Mkuu usikufuru.
Mbele ya Mungu, mapungufu yako ya kimwili sio issue kabisa. Mungu akikuchagua, hakuna wa kupinga. Yeyote yule anaweza kupakwa mafuta. Ni mungu mwenyewe anaamua.

Unamjua Musa wewe?
Nenda kamsome halafu utagundua alikuwa na ulemavu gani.
Musa alikuwa Na kigugumizi
 
Naunga mkono hoja.Nimepita huko .Hawataki uende upadre kisa unaenda kuficha udhaifu,wanataka sadaka inayouma.Ukiwa siyo rijali Sahau kuwa padre
Rijali maana yake ni mwanaume mwenye nguvu za kiume (Kumtamani mwanamke+kusimamisha uume+kumwaga manii)

Sasa embu tueleze, kanisa katoliki wanawezaje kujua kama kweli mtu ni rijali ili akawe padri?
 
Back
Top Bottom