Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,903
- 2,243
Mkuu vyuo vingizo havina hizo kozi za hesabu kama afya uliyoandika hapoNimezungumzia sana somo la hisabati maana somo hilo hufundishwa vyuo vya kati vya umma kama vyuo vya afya, cbe, vyuo vya utumishi, lgti na vyuo vya veta pia. Sijawahi kuona wakihitaji waalim wa masomo hayo.
Nimefatilia hapo cbe dodoma waalimnwa hisabat ndio wanafundisha UDOM pia. Sasa sijui ni kwamba hawajapata kibali cha kuajiri au wanajitisheleza.
Emu tupeane mbili tatu za kufika hukoo
Cbe sawa wanasoma business mathematics,na veta kuna hesbu za kiufundi