sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,053
- 1,304
Habari wakuu
Baada ya kimya kirefu, naomba Leo Nami Niseme
Miez kadhaa iliyopita niliumizwa sana, kutokana na ushauri wa rafiki zangu na maamuzi binafsi niliamua niishi bila mpenz, kweli nikaacha kila kitu, kuhusu wanawake nikirud home ni games, music, movies, Maisha yakawa yanasonga
Nikagundua ukiishi bila girlfriend matumizi ya simu yanapungua, kuna kitu special kinapungua, ninakiri kuwa unakuwa free, unakuwa huru na kipato Chako Maana kuna matumizi yanapungua, Maana ukitoka Baada ya kununua sahani Mbili za chakula unanunua moja,
Yote unaweza fanya ila likija swala la kichwa kidogo kudai chakula hapa unasahau yote, si mchezo hata kama ukajikeep busy vipi ukipata dk 2 tu, za kichwa kidogo kudai chakula, basi zitasumbua sånå, hasa ukikaa mda mrefu bila kukipa chakula chake, hapa natoa hongera Kwa walioa, ukiwa nå friend Zako Wao watakuwa nå wake zao au magirl frnd Zao, hapa ww utabaki nå dada wa kazi, unamiss kucheza, unamiss kucheka, unamiss kufurahi, u single siyo Mzuri, hasa hasa Kama huwezi kununua Kama mm,
Usiku unalala Peke hako, kitanda kikubwa, haupati mgeni Weak ned, hakika u single umenishinda,
Nyie mlio single Kama Mimi, mwenzenu nafanya mpango wa kutoka huko natafuta sehem nijifiche, uvumilivu umenishinda Kama vyeo mnivue tu,
Cc:
Team chaputa
Team single