sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,052
- 1,306
- Thread starter
- #21
Mkuu ukiwa nå pesa unaonaje raha ya kuwa singleHuna pesa ndiyo maana hukuona raha,
Mkuu ukiwa nå pesa unaonaje raha ya kuwa singleHuna pesa ndiyo maana hukuona raha,
Mkuu kununua nimeshindwa kwanza Hao wa kununua ni wanapigaga show fupiKama unapesa njooo nikupeleka baa yenye mademu wengi na wazuri
Kaka kichwa kidogo akizingua dawa yake makofi laini tu.. sisi ma single wazoefu tuna enjoy life kwa dizaini hiyo, fanya kuchukua kadi ya chaputa kwenye tawi lililo karibu na maeneo yako.Habari wakuu
Baada ya kimya kirefu, naomba Leo Nami Niseme
Miez kadhaa iliyopita niliumizwa sana, kutokana na ushauri wa rafiki zangu na maamuzi binafsi niliamua niishi bila mpenz, kweli nikaacha kila kitu, kuhusu wanawake nikirud home ni games, music, movies, Maisha yakawa yanasonga
Nikagundua ukiishi bila girlfriend matumizi ya simu yanapungua, kuna kitu special kinapungua, ninakiri kuwa unakuwa free, unakuwa huru na kipato Chako Maana kuna matumizi yanapungua, Maana ukitoka Baada ya kununua sahani Mbili za chakula unanunua moja,
Yote unaweza fanya ila likija swala la kichwa kidogo kudai chakula hapa unasahau yote, si mchezo hata kama ukajikeep busy vipi ukipata dk 2 tu, za kichwa kidogo kudai chakula, basi zitasumbua sånå, hasa ukikaa mda mrefu bila kukipa chakula chake, hapa natoa hongera Kwa walioa, ukiwa nå friend Zako Wao watakuwa nå wake zao au magirl frnd Zao, hapa ww utabaki nå dada wa kazi, unamiss kucheza, unamiss kucheka, unamiss kufurahi, u single siyo Mzuri, hasa hasa Kama huwezi kununua Kama mm,
Usiku unalala Peke hako, kitanda kikubwa, haupati mgeni Weak ned, hakika u single umenishinda,
Nyie mlio single Kama Mimi, mwenzenu nafanya mpango wa kutoka huko natafuta sehem nijifiche, uvumilivu umenishinda Kama vyeo mnivue tu,
Cc:
Team chaputa
Team single
yaaaa,tangu nilete thread yangu ya kuachwa rasmi,5 month agoMkuu nå ww ni single
Santee mkuuHongera mkui
Pesa ipo nikufundisheMkuu kununua nimeshindwa kwanza Hao wa kununua ni wanapigaga show fupi
Habari wakuu
Baada ya kimya kirefu, naomba Leo Nami Niseme
Miez kadhaa iliyopita niliumizwa sana, kutokana na ushauri wa rafiki zangu na maamuzi binafsi niliamua niishi bila mpenz, kweli nikaacha kila kitu, kuhusu wanawake nikirud home ni games, music, movies, Maisha yakawa yanasonga
Nikagundua ukiishi bila girlfriend matumizi ya simu yanapungua, kuna kitu special kinapungua, ninakiri kuwa unakuwa free, unakuwa huru na kipato Chako Maana kuna matumizi yanapungua, Maana ukitoka Baada ya kununua sahani Mbili za chakula unanunua moja,
Yote unaweza fanya ila likija swala la kichwa kidogo kudai chakula hapa unasahau yote, si mchezo hata kama ukajikeep busy vipi ukipata dk 2 tu, za kichwa kidogo kudai chakula, basi zitasumbua sånå, hasa ukikaa mda mrefu bila kukipa chakula chake, hapa natoa hongera Kwa walioa, ukiwa nå friend Zako Wao watakuwa nå wake zao au magirl frnd Zao, hapa ww utabaki nå dada wa kazi, unamiss kucheza, unamiss kucheka, unamiss kufurahi, u single siyo Mzuri, hasa hasa Kama huwezi kununua Kama mm,
Usiku unalala Peke hako, kitanda kikubwa, haupati mgeni Weak ned, hakika u single umenishinda,
Nyie mlio single Kama Mimi, mwenzenu nafanya mpango wa kutoka huko natafuta sehem nijifiche, uvumilivu umenishinda Kama vyeo mnivue tu,
Cc:
Team chaputa
Team single
Nakuvua vyeooooHahahaa mkuu et kama mnyama poriiKiukweli kuishi kisngle unakosa vitu vingi mno!!yani unaishi kimashakamashaka kama mnyama wa porini,me nmechoka kweli kweli ukijumlisha ukiongeza na shinikizo LA wazazi kuwa nmekua sasa nioe ndo kabisaaa naongeza kasi lakini sasa swali,je nitamuoa nani atakaenipa furaha nayoiwazia kila muda kuhusu mke nae mtaka!?
.amesema hawezi kununuaKama unapesa njooo nikupeleka baa yenye mademu wengi na wazuri
Dah Kwaherini masela me nimeshindwaChaputa tutakumiss
Hongera mkuu nimekubali kichwa kidogo wacha kitawale kichwa kikubwa Kaa ssMkuu mimi nipo single kitambo sana na sijutii maisha kama unavyofanya wewe dhamira ya dhati ikutoke moyoni ya kuamua kuwa single
Mkuu Kadi nimeirudishaKaka kichwa kidogo akizingua dawa yake makofi laini tu.. sisi ma single wazoefu tuna enjoy life kwa dizaini hiyo, fanya kuchukua kadi ya chaputa kwenye tawi lililo karibu na maeneo yako.
Duh Hebu twende tukajoin nå wenzetu, tubadilishe mazingirayaaaa,tangu nilete thread yangu ya kuachwa rasmi,5 month ago
Pesa ipo ya kujengea tuPesa ipo nikufundishe
Unatafuta ukimwi?!..Mkuu Kadi nimeirudisha