Sijaona raha ya kuwa single

Sijaona raha ya kuwa single

MZEE HUKUAMUA, MM NILIWEZA VZR2

Kuish single inawezekana vzr tuu, Hasa ukiwa na malengo flan sio usingle wakuachwa, hapo kweli lzma uzisome za kirumi. Asaiv sipo single ila nilishawah ish single 3yrs, na nilipanga kbsa yakua mpk nifkikie hatua flan ndo nitarud kweny mahusiano,

Sbb n kwamb nilikua addicted kupindukia kwa ufupi nilifanya uzinzi niliojutiaga, Nilikua sijali afya, sijali future, sijali maendeleo sikujali masomo, yaan sikujali chochote, kwa ufupi nilijihc mwenyewe napotea. Nikapiga moyo konde. Nikaenda Angaza Pale serengeti maeneo ya polisi kuna hospital flan ya private ipo Pale kweny Kanisa la Roman ili nioate majib ya uhakika, nikapima nikatoka fresh, japo nakumbuka ile siku nikiwa nipo kweny foren ili kungia kupima nilizimia na kufika ndan tena nilizimia ila sikukata tamaa. Nashkuru majibu yalikua mazuri Mara zote. Ndipo nilipoamua kuacha for 3yrs na nikafanikiwa kbsa. Baada ya kufikia malengo Nikarud kweny mahusiano na nilirud kwa sbb niliona its a ryt time. Ila kwa ufupi maisha yalienda vzr tuu,
 
3yrs hongera mkuu
 
Pole sana.nafikiri ni kwa kuwa hujazoea mkuu.to my side ni mzuri sanaaaa.kivipi,hakuna mtu wa kuniuliza mbn hujanipigia simu,hakuna kumuaga mtu,hakuna kero kero za hapa na pale aiseeh....
Ili maisha yasonge mbele lazima kuwe na faida na hasara
 
Mimi nipo single na sababu kubwa ya kuwa single ni kwamba nikitaka nyama nakula, maziwa nakunywa sasa nifuge ng'ombe wa kazi gani?
 
Back
Top Bottom