Sijamwelewa Waziri Mkuu ujue?

Sijamwelewa Waziri Mkuu ujue?

Unasema watamnyoosha kama vile aikuhusu wewe wapuuzi kweli nyie labda kama nyie siyo watanzania kisa uchama wenu wa kipuuzi kabisa,ingekuwa ni amri yangu ningewafolenisha pale Taifa niwachape viboko nfufjqbveeiqb.
Sasa wewe unafurahia mamba mnayofanya ili watanzania wote tunyooshwe?????????
 
CHA AJABU wanafanya usanii kwenye mambo makubwa yanayogusa nchi,hivi siku ile kulikuwa na ulazima gani wa kuita sijui maaskofu?eti nao wakauliza maswali kwa UCHUNGU!ukumbi ukajaa watu wa kada mbalimbali,wasanii nao wakatumbuiza!kweli kulikuwa na ulazima huo?
Inasemekana wale maaskofu walipangwa kuuliza maswali,na maswali yenyewe mpaka leo hawajajibiwa,haiwezekani itokee coincidence eti wauliza maswali wote wawe maaskofu,

Asiwepo shehe hata mmoja
 
PM ni mbovu mno kwenye maawali ya papo kwa papo. Ndiyo maana Tulia huwa anamjibia maswali mengine au kuyazuia kwa sababu anamjua huyu ni "mwigulu" mwingine
 
Ni muhimu Rais kuunda Tume nyingine ya siri ya kushirikisha watu huru na maabara angalao 3 zinazoaminika. Ikidhihirika Tume ilidanganya, wajumbe wa tume wachukuliwe hatua mbili:

1) Kuipeleka Tume ya Mruma mahakamani kwa kosa la kumdanganya Rais
2) Kuzitaka taasisi za elimu za juu kuwachukulia hatua za kitaaluma kwa kudhalilisha taaluma na wataalam wa nchi yetu

Nina hakika mpaka sasa serikali inajua kuwa ripoti ile siyo sahihi.

Hatua kali zikichukuliwa, tutawafanya wataalam kuwajibika zaidi wanapopewa majukumu ya kitaifa.
 
Mkuu Bams una mtazamo kama wangu.
Katika moja ya michango yangu kuhusu hili sakata la makinikia nilielezea mshangao wangu kuwa inawezekana vipi watu wasomi wa kiwango kile wakakosea mahesabu kwa kiwango kikubwa kiasi kile? Hakuna hata mmoja aliyeligundua hilo kabla ya kukabidhi ripoti? Yani wawezaje kumkabidhi Rais kitu chenye makosa ya kiwango kile?
Eti tani 7.8 za dhahabu kwenye makontena 277? Yani around kilo 28 kwa kila container? Tena hiyo iwe ni 50% tu ya wanachozalisha kwa mwezi.
Nafikiri kama wangetumia standard measure ya uzito wa dhahabu ambao ni Wakia au Ounce (oz) labda wangeshtukia makosa yao. Maana tani 7.8 ni kilogramu 7,800 sawa na gramu 7,800,000. Hizi ukizibadili katika troy ounces (1oz = 31.1035g) unapata ounces 250,775. This is too much to be any mine's monthly production....
Hata kwa mwaka hakuna mgodi tulionao hapa wenye uwezo wa kuzalisha kiasi hicho.
Nakubaliana nawe....tume ishitakiwe kwa kumwongopea Rais na wananchi....na hizo Phd zao wafutiwe tu..
 
Tume haijaongelea suala la makontena mangapi yanasafirishwa kwa mwezi. Labda tujadili tu usahihi wa kiwango cha dhahabu kwenye kontena moja hicho ndo tume wameongelea. Tume ya pili ndo ina majibu ya kotena ngapi zimesafirishwa. Nadhani tuna deal na secondary information kwa hiyo there is loss of information hapa katikati.. Tusubiri ripoti zote zitapokuwa available kwenye public..Mimi huwa nashangaa sana kwanini tunapenda ku make judgement kwa information ambayo ni secondary na si primary..Unakuta mtu hasomi ripoti ya kitu fulani anasubiri tu zitto afanye synthesis yake yeye anakuja anachukua secondary information from Zitto au mtu yeyote. Kwa hiyo muda mwingi tunakuwa tunapoteza muda kujadili vitu ambavyo hatujajua ukweli wake kamili...Tuweke akiba ya maneno mpaka pale tutapokuwa wote tumesoma hizo repoti na kuzielewa kisha ndo tuweze kubainisha mapungufu yake..
 
Nasikia baada ya mashambulizi makali na watu mbalimbali kuonesha mapungufu makubwa kwenye hiyo ripoti, serikali ineamua kuificha ili wasizidi kuumbuka! Hata watuhumiwa hawajapewa ripoti yenyewe!
 
Tume haijaongelea suala la makontena mangapi yanasafirishwa kwa mwezi. Labda tujadili tu usahihi wa kiwango cha dhahabu kwenye kontena moja hicho ndo tume wameongelea. Tume ya pili ndo ina majibu ya kotena ngapi zimesafirishwa. Nadhani tuna deal na secondary information kwa hiyo there is loss of information hapa katikati.. Tusubiri ripoti zote zitapokuwa available kwenye public..Mimi huwa nashangaa sana kwanini tunapenda ku make judgement kwa information ambayo ni secondary na si primary..Unakuta mtu hasomi ripoti ya kitu fulani anasubiri tu zitto afanye synthesis yake yeye anakuja anachukua secondary information from Zitto au mtu yeyote. Kwa hiyo muda mwingi tunakuwa tunapoteza muda kujadili vitu ambavyo hatujajua ukweli wake kamili...Tuweke akiba ya maneno mpaka pale tutapokuwa wote tumesoma hizo repoti na kuzielewa kisha ndo tuweze kubainisha mapungufu yake..
Mkuu huoni ripoti ya pili itakuwa based on false premises! Unategemea nini?
 
Ndugu yangu hiyo hesabu ya tani 7.8 za dhahabu iliyotolewa na tume kwani ilitokana na makontena mmangapi?
Hiyo ilitokana na makontena yote 277 yaliyozuiliwa bandarini. Na data zipo wazi kuwa huwa yanasafirishwa makontena 250 mpaka 300 kila mwezi. Ni kutokana na hesabu hii ndio maana ulisikia Rais akisema yameshasafirishwa makintena zaidi ya 50,000 toka mchanga huu uanze kusafirishwa some 16 years ago....Hii sio secondary information...ni facts.
 
CHA AJABU wanafanya usanii kwenye mambo makubwa yanayogusa nchi,hivi siku ile kulikuwa na ulazima gani wa kuita sijui maaskofu?eti nao wakauliza maswali kwa UCHUNGU!ukumbi ukajaa watu wa kada mbalimbali,wasanii nao wakatumbuiza!kweli kulikuwa na ulazima huo?
Kiki... Mbona angeweza kupokea report akiwa ofisini kwake labda akishuhudiwa na vice na PM.. Wengine woote tungeshuhudia kupitia TV
 
To be honest, ccm walibugi step big time kutuletea mtu kama huyu! Nikikumbuka slivyoonesha hamaki siku ile ripoti inasomwa yaani rais anakosa utulivu kabisa! Mzuka ulimpanda vibaya mpaka akajikuta anatukana! Huyu sio kabisa!
Hiyo ni kukosa diplomasia na uzoefu wa kimataifa! Sijui CCM walibugi vipi mpaka kumpa uongozi mkubwa hivi mtu mshamba mshamba hivi!
 
jingalao cocochanel Wakudadavuwa stroke Lizaboni
Mko chemba mnajiandaa kupiga "u turn" au kubadili gia angani!
Akiba ya maneno!
Utabiri wangu stands;Hatutokuja kuijua report ya pili kamwe!
Duh!!!

Unaniita kwenye uzi ambao mtu anadai hajaelewa kabla hajajibiwa kajijibu anayotaka kujijibu na kujidanganya kwa kupindisha....shaaaaaa

Mimi napita sipendi udaku, alichoongea Mh. Majaliwa leo sioni utofauti na kinachoendelea.

Tabu wananchi wengi hamna subira na kupenda udaku wa kuchafua ya serikali yetu safiiii ya awamu ya Tano inayoongozwa na mpendwa Rais wetu Mh. Magufuli.

Hapa kazi tu
 
Kumbe wanasubiri ripoti ya pili sasa itakuwaje kama ripoti zikipingana??
 
Leo katika kipindi cha bunge cha maswali ya papo kwa hapo amesema kwamba serikali haijawachukulia hatua zozote kampuni yoyote ya madini au mwekezaji kutokana na ripoti ya makinikia.

Kwamba hatua zilizochukuliwa ni za ndani tu haxiwahusu hao wawekezaji. Hivyo wasiwe na wasiwasi na waendelee na shughuli zao kama kawaida. Lengo la serikali ni.kujiridhisha tu kilichopo kwenye makinikia na bado ripoti nyingine inasubiriwa.

Akasema baada ya ripoti hiyo kutoka wstashauriana nini cha kufanya kwa kuwashirikisha wadau wote na kwa haki. Na wala hakutakuwa na tatizo kwani kila kitu kitakwenda vizuri.

Hivyo watu waache kutishana na pia wawekezaji kwenye madini watulie. Jibu hili lilitokana na swali la mbunge wa Tabora mjini aliyetaka kujua kama serikali kwa kuxuia mchanga wa makinikia haioni kwamba inawaogopesha wawekezaji na tunaweza kujikuta tunaingia kwenye mgogoro na nchi wanazotoka wawekezaji hawa hasa endapo ikija kujulikana kwamba kilichosemwa na tume si kweli?

Kiukweli kabisa jibu la Waziri Mkuu limeniacha na kizunguzungu. Ukiacha kwanza kwamba jibu lake lake limeonekana kujaribu kupooza hali ya sintofahamu iliyopo na kwamba kuna uwezekano tume ikawa ilikosea, nimeshangazwa zaidi na aliposema eti hatua zilizochikuliwa ni za ndani tu na makampuni ya madini hayajachukuliwa hatua zozote mpaka sasa na eti waendelee na shughuli zao bila wasiwasi.

Hivi ni kweli WM hakusikia mapendekezo ya Tume ya Rais kwamba Acacia wamekuwa wanatuibia sana? Tena wakashauri makontena ya mchanga yaendelee kushikiliwa mpaka watakapotulipa kodi zetu kwa kile kilichopo kwenye mchanga?

Hakumsikia rais akisema ameyakubali mapendekezo yote ya Tume? Sasa atasemaje eti serikali haijachukulia kampuni yoyote hatua na waendelee tu na shughuli zao kama kawaida?

Je, hajawasikia Acacia wakilalamika kwamba wanapata hasara ya mabilioni kila siku kwa kitendo cha kushikilia mchanga ao muda mrefu?

My take: Nahisi serikali imeshachanganyikiwa kuhusu hili la makinikia ndio maana wanaanza kutoa kauli tata!

Tone ya WM leo na tone ya Magufuli kuhusu hili sakata siku ile ya kukabidhiwa ripoti ni vitu viwili tofauti kabisa.

Naona dalili kwamba somo ambalo limekuwa likitolewa na wadau kuhusu kutokurupuka katika hili limeanza kuwaingia serikali! Kudos kwa serikali kama mmeelewa somo.

Next time mtulize vichwa kwanza kabla ya kukurupuka na maamuzi yanayoweza kuliingiza taifa kwenye hasara kubwa. Tuwape madini, halafu tuwalipe tena fidia ya mabilioni?, No way. Sio kwa kodi zetu. Mngetoa hizo pesa mifukoni mwenu wallah!!

Bas wew milele hautokua muelewa
 
Kwani wale askari na mkuu wa mkoa kule bulyanhulu na buzwagi walifunga vitu gani mbona nahisi kizungu zungu saiv
Unaona kizungu zungu cha nini.
Tatizo mnakuwa na akili za kuambiwa mkuu wa mkoa alikwenda kuhakikisha kuwa utekekezaji wa agizo alilotoa raisi unatekelezwa.

Mbona mnaingia wenge.
 
Duh!!!

Unaniita kwenye uzi ambao mtu anadai hajaelewa kabla hajajibiwa kajijibu anayotaka kujijibu na kujidanganya kwa kupindisha....shaaaaaa

Mimi napita sipendi udaku, alichoongea Mh. Majaliwa leo sioni utofauti na kinachoendelea.

Tabu wananchi wengi hamna subira na kupenda udaku wa kuchafua ya serikali yetu safiiii ya awamu ya Tano inayoongozwa na mpendwa Rais wetu Mh. Magufuli.

Hapa kazi tu
Hata wewe naona umepooza,mchango wako hap juu unaonesha unyonge!
Time will tell!
 
Back
Top Bottom