Sijamwelewa Waziri Mkuu ujue?

Sijamwelewa Waziri Mkuu ujue?

Kwa hiyo magwangala ya wanzungu yana endelea kusafirishwa kama kawa maana ndiyo yalizuiliwa, shunguli nyingine migodi ziliendelea kama kawaida.

Na washawasha!
 
Serikali inafanya kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni za nchi. Sio kwa mihemko ya Wanaharakati uchwara. Mh. Waziri Mkuu ametoa ufafanuzi juu ya suala zima la Makinikia kwa kuwa kuna wajuaji wanapotosha umma na kumwaga sumu iliyojaa chuki dhahiri.

Wenye Chuki na Nchi hii endeleeni na upotoshaji. Ila mwisho wenu ni AIBU.
Naweka akiba ya maneno nikisubiri ripoti ya Pili (2) kutoka TUME ya Rais. Muda utaongea.
Hapo kwenye mihemko umemlenga mwenyekiti wako wa chama.
 
Kutaka kiki kila mahali.Sasa kwa mzungu amebugi!asidhanie hii ni ishu kama ya sukari kutishia wahindi halaf baadae akaufyata.Hawa ni wenye dunia,watamnyoosha!
Hahahah kama kile kibabu cha Zimbabwe kilivyonyooshwa
 
Na amuombe msamaha Prof. Mhongo.
Kukurupuka tuuuuuu!!
T. Lissu alisema nia ya Rais ni nzr but the means is wrong!! CCM wakabisha weeeeeeee
 
Tume haijaongelea suala la makontena mangapi yanasafirishwa kwa mwezi. Labda tujadili tu usahihi wa kiwango cha dhahabu kwenye kontena moja hicho ndo tume wameongelea. Tume ya pili ndo ina majibu ya kotena ngapi zimesafirishwa. Nadhani tuna deal na secondary information kwa hiyo there is loss of information hapa katikati.. Tusubiri ripoti zote zitapokuwa available kwenye public..Mimi huwa nashangaa sana kwanini tunapenda ku make judgement kwa information ambayo ni secondary na si primary..Unakuta mtu hasomi ripoti ya kitu fulani anasubiri tu zitto afanye synthesis yake yeye anakuja anachukua secondary information from Zitto au mtu yeyote. Kwa hiyo muda mwingi tunakuwa tunapoteza muda kujadili vitu ambavyo hatujajua ukweli wake kamili...Tuweke akiba ya maneno mpaka pale tutapokuwa wote tumesoma hizo repoti na kuzielewa kisha ndo tuweze kubainisha mapungufu yake..
Mkuu huoni ripoti ya pili itakuwa based on false premises! Unategemeanin
Yaani "HASIRA" zake zilianza zamani! Nimewahi kusikika akisema MIMI WATALIMIA MENO! Kauli anayoITEKELEZA sasa. Kama Mwalimu wa Kemia wa Advanced Level, anajua kilicho kwenye mchanga wa MADINI. Aliyataja vizuri siku ile. Inaonekana (NIKISOMA KATI YA MISITARI) Kamati ya Profesa ilipata NOTES za Mkuu, na ripoti waliyotoa ilikuwa na "majibu" ya aliyewatuma kabla ya kuanza kazi.
 
Na amuombe msamaha Prof. Mhongo.
Kukurupuka tuuuuuu!!
T. Lissu alisema nia ya Rais ni nzr but the means is wrong!! CCM wakabisha weeeeeeee
Yah, japo Muhongo simpendi sana kwa sababu ya academic arrogance yake, lakini kwa hili la makinikia hakutendewa haki! Alihukumiwa kwa ripoti yenye uongo mwingi kuliko ukweli!
 
Mkuu,mimi binafsi nimemuona kupitia Star tv akijibu swali hilo na kwakweli kajibu kwa upole sana akionekana wazi kujaribi kuwapoza ACASIA.

Wabunge wa CCM kama kawaida yao makofi yakawa mengi.
Wabunge hata wakitukanwa na mkuu, makofi kwa kwa kwa! Kujipendekeza kuna shida yake
 
Unaona kizungu zungu cha nini.
Tatizo mnakuwa na akili za kuambiwa mkuu wa mkoa alikwenda kuhakikisha kuwa utekekezaji wa agizo alilotoa raisi unatekelezwa.

Mbona mnaingia wenge.
Wewe ndo hujaelewa kabisa.. Tatizo UCCM umewakaa akilini, yaani hata wafanyaje wameshaharibu, tulieni tunyolewe Kwa chupa.
 
Hata mimi binafsi sikumuelewa WM kwani ukitafakari kwakina inaonyesha kuwa kuna jambo ambalo tayari serikali imeliona na walikuwa wakitafuta namna yakuliweka sawa. Hata muuliza swali mweyewe inaonekana kama swali halikutoka kichwani mwake bali mdomoni mwake tu yaani kakaririshwa. Wengi wanambeza Mh Lisu lkn kuna siku yatatimia.
Hata Mh Rais alipofanya ziara yakushtukiza bandari tayari alikuwa anamajibu yakutosha na ndio maana alimtimua PS wa wizara hata kabla tume haikuleta majibu.
 
Washaharibu Mkuu, sasa kilichobaki ni kuzuga zuga tu kinamna!
Wewe ndo hujaelewa kabisa.. Tatizo UCCM umewakaa akilini, yaani hata wafanyaje wameshaharibu, tulieni tunyolewe Kwa chupa.
 
Washaharibu Mkuu, sasa kilichobaki ni kuzuga zuga tu kinamna!
Wajinga sana, Akili za Mchanga kubishana na Lissu? Yaani miaka yote wanaambiwa tunaibiwa wanabisha kwa dharau na Kebehi, eti Leo ndio wanajifanya wanauchungu na nchi yetu!! Shenztyp!!!

Eti Uzalendo!!! Dhahabu tani 7?? Yaani tani saba waibebe kwenye Lori? Hata kama ningekua mimi nisingebeba kwenye Lori hata siku moja!!

Zamani nilikua naamini wanasiasa ni magenious sana, kumbe hamna kitu kabisa, yaani kuna vitu kwa akili ya kawaida kabisa unaona kama ningekua mimi nisingefanya hivi ila wao ndo wanafanya tena MBELE YA MACHO YA DUNIA NZIMA, what a shame!!! Ndio maana hii ngozi nyeusi itaendelea kudharaulika mpaka siku Ulimwengu unafutika,. Sasa tusubiri kuwalipa fidia ya kupoteza zile bilion mbili zao za kila siku, fidia ya kuwachafulia jina na fidia ya kuporomosha hisa zao.

CCM Oyeeeeee

MAGUFULI Oyeeeeeeeq

Makonda Oyeeeeee

cocochanel Oyeeeeee

Babeli Oyeeeee

Troll JF oyeeeeee

Barbarosa Oyeeeeeeee

Simiyu Yetu Oyeeeeeeeee

Mudawote oyeeeeeeee

chinembe Oyeeeeeeee

Lizaboni Oyeeeeeee

MOTOCHINI oyeeeeeee

jingalao Oyeeeeeee

Subirini KARMA iwashughulikie, vita dhidi ya wanyonge hawajawahi kumuacha Mkandamizaji Salama hata siku moja.
 
Dis is 2 Much ... !!!
Yapo wapi tena .. Mh. Tundu Lissu aliyasema na akaonekana Si Mzalendo.

Leo katika kipindi cha bunge cha maswali ya papo kwa hapo amesema kwamba serikali haijawachukulia hatua zozote kampuni yoyote ya madini au mwekezaji kutokana na ripoti ya makinikia.

Kwamba hatua zilizochukuliwa ni za ndani tu haxiwahusu hao wawekezaji. Hivyo wasiwe na wasiwasi na waendelee na shughuli zao kama kawaida. Lengo la serikali ni.kujiridhisha tu kilichopo kwenye makinikia na bado ripoti nyingine inasubiriwa.

Akasema baada ya ripoti hiyo kutoka wstashauriana nini cha kufanya kwa kuwashirikisha wadau wote na kwa haki. Na wala hakutakuwa na tatizo kwani kila kitu kitakwenda vizuri.



Hivyo watu waache kutishana na pia wawekezaji kwenye madini watulie. Jibu hili lilitokana na swali la mbunge wa Tabora mjini aliyetaka kujua kama serikali kwa kuxuia mchanga wa makinikia haioni kwamba inawaogopesha wawekezaji na tunaweza kujikuta tunaingia kwenye mgogoro na nchi wanazotoka wawekezaji hawa hasa endapo ikija kujulikana kwamba kilichosemwa na tume si kweli?

Kiukweli kabisa jibu la Waziri Mkuu limeniacha na kizunguzungu. Ukiacha kwanza kwamba jibu lake lake limeonekana kujaribu kupooza hali ya sintofahamu iliyopo na kwamba kuna uwezekano tume ikawa ilikosea, nimeshangazwa zaidi na aliposema eti hatua zilizochikuliwa ni za ndani tu na makampuni ya madini hayajachukuliwa hatua zozote mpaka sasa na eti waendelee na shughuli zao bila wasiwasi.

Hivi ni kweli WM hakusikia mapendekezo ya Tume ya Rais kwamba Acacia wamekuwa wanatuibia sana? Tena wakashauri makontena ya mchanga yaendelee kushikiliwa mpaka watakapotulipa kodi zetu kwa kile kilichopo kwenye mchanga?

Hakumsikia rais akisema ameyakubali mapendekezo yote ya Tume? Sasa atasemaje eti serikali haijachukulia kampuni yoyote hatua na waendelee tu na shughuli zao kama kawaida?

Je, hajawasikia Acacia wakilalamika kwamba wanapata hasara ya mabilioni kila siku kwa kitendo cha kushikilia mchanga ao muda mrefu?

My take: Nahisi serikali imeshachanganyikiwa kuhusu hili la makinikia ndio maana wanaanza kutoa kauli tata!

Tone ya WM leo na tone ya Magufuli kuhusu hili sakata siku ile ya kukabidhiwa ripoti ni vitu viwili tofauti kabisa.

Naona dalili kwamba somo ambalo limekuwa likitolewa na wadau kuhusu kutokurupuka katika hili limeanza kuwaingia serikali! Kudos kwa serikali kama mmeelewa somo.

Next time mtulize vichwa kwanza kabla ya kukurupuka na maamuzi yanayoweza kuliingiza taifa kwenye hasara kubwa. Tuwape madini, halafu tuwalipe tena fidia ya mabilioni?, No way. Sio kwa kodi zetu. Mngetoa hizo pesa mifukoni mwenu wallah!!
 
Mkuu Bams una mtazamo kama wangu.
Katika moja ya michango yangu kuhusu hili sakata la makinikia nilielezea mshangao wangu kuwa inawezekana vipi watu wasomi wa kiwango kile wakakosea mahesabu kwa kiwango kikubwa kiasi kile? Hakuna hata mmoja aliyeligundua hilo kabla ya kukabidhi ripoti? Yani wawezaje kumkabidhi Rais kitu chenye makosa ya kiwango kile?
Eti tani 7.8 za dhahabu kwenye makontena 277? Yani around kilo 28 kwa kila container? Tena hiyo iwe ni 50% tu ya wanachozalisha kwa mwezi.
Nafikiri kama wangetumia standard measure ya uzito wa dhahabu ambao ni Wakia au Ounce (oz) labda wangeshtukia makosa yao. Maana tani 7.8 ni kilogramu 7,800 sawa na gramu 7,800,000. Hizi ukizibadili katika troy ounces (1oz = 31.1035g) unapata ounces 250,775. This is too much to be any mine's monthly production....
Hata kwa mwaka hakuna mgodi tulionao hapa wenye uwezo wa kuzalisha kiasi hicho.
Nakubaliana nawe....tume ishitakiwe kwa kumwongopea Rais na wananchi....na hizo Phd zao wafutiwe tu..
Tatizo Serikali ilishasema inachoamini mpaka kumfukuza yule katibu mkuu aliyesema ukweli sasa leo uje Ikulu useme Rais umekosea? inabidi watengeneze report itakayo mfurahisha mheshimiwa na mpaka akawatukana wasomi wengine kama katibu sasa tutayona maana hata tone zao zimebadilika sisikii tena majambazi.
 
Back
Top Bottom