Allency
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 13,730
- 13,099
Duh!!!
Unaniita kwenye uzi ambao mtu anadai hajaelewa kabla hajajibiwa kajijibu anayotaka kujijibu na kujidanganya kwa kupindisha....shaaaaaa
Mimi napita sipendi udaku, alichoongea Mh. Majaliwa leo sioni utofauti na kinachoendelea.
Tabu wananchi wengi hamna subira na kupenda udaku wa kuchafua ya serikali yetu safiiii ya awamu ya Tano inayoongozwa na mpendwa Rais wetu Mh. Magufuli.
Hapa kazi tu
Nakuona unavyoyumba yumba huna pa kushika, eti serikali yetu safi ndiyo umepata pa kuegemea, awamu hii mtapata mateso sana