prospilla
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 1,150
- 1,716
we mmalawi unaandika kiswali fasaha hivi? hongera aiseeKutaka kiki kila mahali.Sasa kwa mzungu amebugi!asidhanie hii ni ishu kama ya sukari kutishia wahindi halaf baadae akaufyata.Hawa ni wenye dunia,watamnyoosha!