Sijamwelewa Waziri Mkuu amemaanisha au ndiyo kusema ukiitwa mbele ya mfalme lazima umfurahishe

"Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Amesema kutokana na Utendaji wa Rais Samia Suluhu Anaupiga Mwingi Kama Vijana wanavyoendelea kusema na Mungu akijaalia Ataifikisha Vizuri Tanzania Mwaka 2025 na Mungu akijaalia atamaliza Salama Mwaka 2030" Ameyasema hayo Kwenye Kampeni ya Maendeleo ya Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVICO19
Ulitaka aseme kitu gani zaidi ya hayo?
 
"Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Amesema kutokana na Utendaji wa Rais Samia Suluhu Anaupiga Mwingi Kama Vijana wanavyoendelea kusema na Mungu akijaalia Ataifikisha Vizuri Tanzania Mwaka 2025 na Mungu akijaalia atamaliza Salama Mwaka 2030" Ameyasema hayo Kwenye Kampeni ya Maendeleo ya Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVICO19

Ukimwelewa huyo utaamini jiwe angali busy na mafaili ofisini
 
Ila hizi kampeini zinazo endelea mapema hivi Sina hakika kama zinanianjema
Tulisha aminishwa kuwa baada ya uchaguzi mkuu kumalizika kama taifa tunatakiwa tuweke siasa pembeni ili tupate muda wa kufanya kazi za kujenga Taifa letu,

Sasa hii Habari ya kufikilia chagu za 2025 binafisi sioni kama ni sahihi, kiongozi kufikilia uchaguzi 2025 badala ya kujikita kutakuwa kero za wananchi hii nikutukosea
 
"Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Amesema kutokana na Utendaji wa Rais Samia Suluhu Anaupiga Mwingi Kama Vijana wanavyoendelea kusema na Mungu akijaalia Ataifikisha Vizuri Tanzania Mwaka 2025 na Mungu akijaalia atamaliza Salama Mwaka 2030" Ameyasema hayo Kwenye Kampeni ya Maendeleo ya Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVICO19
Huyu baba nae basi tu hanaga tafouti na Phillip Mpago......lakini kwanini Tz hatunaga charismatic leaders wengi ni stooges eti tunategemea mabadoliko katika hi nchi na viongozi kama hao
 
20211006_052127.jpg
 
Ila hizi kampeini zinazo endelea mapema hivi Sina hakika kama zinanianjema
Tulisha aminishwa kuwa baada ya uchaguzi mkuu kumalizika kama taifa tunatakiwa tuweke siasa pembeni ili tupate muda wa kufanya kazi za kujenga Taifa letu,

Sasa hii Habari ya kufikilia chagu za 2025 binafisi sioni kama ni sahihi, kiongozi kufikilia uchaguzi 2025 badala ya kujikita kutakuwa kero za wananchi hii nikutukosea
Waache bhana...si tunataka tuione pesa mtaani..
 
Back
Top Bottom