Sijamwelewa Waziri Mkuu amemaanisha au ndiyo kusema ukiitwa mbele ya mfalme lazima umfurahishe

"Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Amesema kutokana na Utendaji wa Rais Samia Suluhu Anaupiga Mwingi Kama Vijana wanavyoendelea kusema na Mungu akijaalia Ataifikisha Vizuri Tanzania Mwaka 2025 na Mungu akijaalia atamaliza Salama Mwaka 2030" Ameyasema hayo Kwenye Kampeni ya Maendeleo ya Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVICO19

watanzania kama tunashida vile , inamaana utaratibu wa CCM hauujui? au umejizima data ndugu? kama huna cha kupost bora ureserve bundle lako kwa ajili ya issue nyingine au uingie uwe unasoma nyuzi za watu wengine…
 
Back
Top Bottom