Ruhusa ya kuishi na mtu ambae hujamuoa umeitoa wapi?....Mtume Muhammad (s.a.w) amesema mzinifu hurithi ufakiri..ndo uyaone sasa ayo....kama ungelimuoa ungelikua na power ya kumwambia nini unataka na nini hutaki....Mkuu dini zote haziruhusu uzinifu....kila kosa lina Gharama yake na wewe sasa unalipa gharama za makosa yako....Hivi we mwenyewe namna alivyi na kiburi...pamoja na Ihsani yote uliompa bado anakuita selfish....kiufupi uyo mwanamke wewe anakuona -----...na anchokifanya sasa ni kukuweka katika Milki yake....ikifika siku ya kumuoa...(ndoa ambayo mimi binafsi yangu siiti ndoa ila ni muendelezo wa zinaa) wewe kijana tayari ushakua MBOGA YA MAYUGWA(MBOGA YA MAJIMBI) laiiiniii....Badilikeni Jamani....
honey inaboa yaani hiyo ni familia ya WATU WALIOKAA NDOANI MIAKA 20 sasa nyie hata hamjaoana yaani kwa kifupi hamna raha ya ndoa
ZILE MECHI ZA GHAFLA AMNA (kumbuka bado nyie wachanga kimapenzi)
YAANI MPAKA ARENGEMENT YA MECHI IFANYIKE LOOH mkae vikao mtegee wote wamelala mmmh
SITAKIIIIII
Na kweli mpendwa, kwanza ni lawama mtu unajitaidi weee kutimiza majukumu yako ila ijitokea ukasema kidogo ndo hayo anaambiwa mbinafsi na mambo mengine na hii shost iko pande zote mfano hapo mume na yeye alete ndugu zake hiyo nyumba sijui itakuwaje!!!!
Honestly, nikioa sitaki ndugu waje kuishi kwangu, waje kusalimia na kuondoka. Ndugu akija atalala guest hadi anaondoka.
Tumezaliwa tumekuta wazazi wanalea ndugu zetu, miaka nenda rudi ndugu hawaishi kuingia ile nyumba. Hadi tumemaliza chuo still kuna ambao bado wapo, mwisho wa siku ni dharau na kejeli pindi wanapofanikiwa.
Nimesema hivii, nikioa hakuna ndugu wa aina yeyote kwangu. Acha wanione selfish ila its the best for me and my family.
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
honey inaboa yaani hiyo ni familia ya WATU WALIOKAA NDOANI MIAKA 20 sasa nyie hata hamjaoana yaani kwa kifupi hamna raha ya ndoa
ZILE MECHI ZA GHAFLA AMNA (kumbuka bado nyie wachanga kimapenzi)
YAANI MPAKA ARENGEMENT YA MECHI IFANYIKE LOOH mkae vikao mtegee wote wamelala mmmh
SITAKIIIIII
Naomba masai dada na Bulldog muoane kabisa (just kidding) kwani nimependa misimamo yenu kwani uafrika wetu unatufanya siku zote tufe maskini kwa sababu ya kutoweza kutoka kwenye vicious cycle! Asikuambie mtu, familia ya watu 6 mjini ni matumizi (matumizi yale ya kawaida nje ya karo tena katika miji midogo, sasa wa Dar watatuambia wao) yasiyopungua laki sita (Tsh. 600,000) kwa mwezi! Sasa ukiangalia na mishahara ya kitanzania sijui kama utafanikiwa hata kuwa na uwezo wa kuweka akiba yoyote kwa mwezi kama siyo kuwa unafanya kazi ili ulipe madeni!Kibaya zaidi ndugu wengine wakiona unakazi mjini basi wanajua unapesa kweli wakati kiuhalisia wanaweza kuwa wanakuzidi wewe kwa rasilimali walizonazo (lets say mifugo yao, mashamba pamoja na maisha rahisi ya vijijini!)Pia sikatai kusaidia mtu, nasaidia kweli yule anayehitaji msaada si zaidi ya hapo! Wakati mwingine unaweza kufikia hatua hata ya kushindwa kuwasaidia hata wazazi wako kwa kuelemewa na mizigo isiyo ya lazima!
Mkuu akajasembamba kama unaendelea na huyo mwanamke its fine ila anzisha miradi (kama ipo ndani ya uwezo wako) na hakikisha every family member anafanyakazi hapo mda wa ziada, kwa yule ambaye hatakuwa tayari kufanya basi asepe na asikusumbue tena! Make sure hawali na kuchekiTV tu, make them sweat because they are your assets (this is in cane unaona aibu kuwapa makavu live)!![]()
Naomba masai dada na Bulldog muoane kabisa (just kidding) kwani nimependa misimamo yenu kwani uafrika wetu unatufanya siku zote tufe maskini kwa sababu ya kutoweza kutoka kwenye vicious cycle! Asikuambie mtu, familia ya watu 6 mjini ni matumizi (matumizi yale ya kawaida nje ya karo tena katika miji midogo, sasa wa Dar watatuambia wao) yasiyopungua laki sita (Tsh. 600,000) kwa mwezi! Sasa ukiangalia na mishahara ya kitanzania sijui kama utafanikiwa hata kuwa na uwezo wa kuweka akiba yoyote kwa mwezi kama siyo kuwa unafanya kazi ili ulipe madeni!Kibaya zaidi ndugu wengine wakiona unakazi mjini basi wanajua unapesa kweli wakati kiuhalisia wanaweza kuwa wanakuzidi wewe kwa rasilimali walizonazo (lets say mifugo yao, mashamba pamoja na maisha rahisi ya vijijini!)Pia sikatai kusaidia mtu, nasaidia kweli yule anayehitaji msaada si zaidi ya hapo! Wakati mwingine unaweza kufikia hatua hata ya kushindwa kuwasaidia hata wazazi wako kwa kuelemewa na mizigo isiyo ya lazima!
Mkuu akajasembamba kama unaendelea na huyo mwanamke its fine ila anzisha miradi (kama ipo ndani ya uwezo wako) na hakikisha every family member anafanyakazi hapo mda wa ziada, kwa yule ambaye hatakuwa tayari kufanya basi asepe na asikusumbue tena! Make sure hawali na kucheki TV tu, make them sweat because they are your assets (this is in cane unaona aibu kuwapa makavu live)!
Aisee nimepapenda hapo hawali na kucheki TV tu, sijui ndo vitu vinawaleta mana unaweza kuondoka asubui ukampa mtu kazi ya kawaida sana hata hawezi tumia saa moja kuifanya lakini ukirudi unakuta haijafanyika na hakuna sababu!!
aisee , chunguza waweza kuta unalea mtoto ama watoto wa mkeo bila kufahamu.
Mkuu kuna madhumuni mengi ya kusaidia ndugu au mtu, moja wapo wafanikiwe ili wasije kuwa mzigo, inawezekana ndio moja ya sababu ya wazazi wako kufanya hiyo, cha muhimu kujifunza ni kuwa na madhumuni yasiyokuumiza baadae, mfano mzazi/ndugu ambaye amekusomesha au amehangaika ili uje ufanikiwe, akiona umefanfanikiwa yeye ndio furaha yake hata husikii anadai hata senti yako, ila yule aliyekusemesha ili uje msaidia, yaani siku ukianza kazi tu, maneno yanaanza hapo.Honestly, nikioa sitaki ndugu waje kuishi kwangu, waje kusalimia na kuondoka. Ndugu akija atalala guest hadi anaondoka.