Sijamuelewa Edward Lowassa

Sijamuelewa Edward Lowassa

Jamaa anapenda sana RAHA......

12.jpg
 
Kweli CDM ni chama cha wachaga! Hivi kweli EL ni Mchaga? Tena kutoka Monduli duli!

tatizo lenu nyinyi watoto kwanzia miaka ya 80 mnamatatizo sana.
Ila kwa kukusaidia nataka kukujibu lenye tafakari pana,ila usiwe mvivu.
Unamjua baba yake edward?pia unajua alikua anatoka wapi? Je,unamjua kama alikwisha wai kuwa dc na pia unajua kama baba yake alikwisha wai kuwa waziri wa utali na mali asili?
Siku nyingine usipende kushabikia kitu usichokifahamu.
 
mkuu! Kwahiyo unataka kutuaminisha na sisi madereva wenye itikadi tofauti kama nilivyo mimi ni chadema. Kwahiyo ule mkutano ulikua haunihusu,pia unataka kuniaminisha waliokuwepo kwenye eneohusika walikua ni wanachama wa ccm.

Mkome kualika watu maarufu bila ya kuwa na uwezo wa kujadili mnachokitaka kabla ya kuja hapo!!!!!
 
Mstokwe povu, kwan anachofanya slaa huko igunga sio kampeni zile?

Dr.w.slaa tunafahamu anakijenga chama chake. Vp kuhusu lowasa na yeye anajenga chama kwenye tamasha lenye sura ya kitaifa!?
 
Kama EL atafanikiwa kuiongoza nchi hii(hakika haitawezekana kuwa)itakuwa ni bora nitafute uraia wa Somalia Alshaabab ni afadhali kuliko fisadi huyu.Mungu yu mwema sana atamtia upofu tu!
 
Hao waliomualika hawakujua kama yeye ni CCM? Ulitaka awe neutral kwani yeye ni kiongozi wa serikali?

kwaiyo unataka kutuambia lilikua tamasha linalo wahusu wanachama wa ccm? Sasa kwani hawakulitangaza ivyo matokeo yake wamelitangaza kwa kulipa sura ya kitaifa?
 
Kwa nini mlimualika yeye na sio mtu mwingine???!!!

nasikia kumbe yeye ndiye aliye yaratibu,ila aliwatumia watu flani ambao ni viongozi wetu ili asijulikane kama ndiye aliye aliyaratibu.
 
Mkome kualika watu maarufu bila ya kuwa na uwezo wa kujadili mnachokitaka kabla ya kuja hapo!!!!!

binafsi sikufahamu kama ulikua ni mkutano wa waendesha bodaboda wapenzi na wanachama wa ccm.
 
Huwa iko hivyo, rais mtarajiwa huwa ni ngumu sana kumuelewa.
 
Kama EL atafanikiwa kuiongoza nchi hii(hakika haitawezekana kuwa)itakuwa ni bora nitafute uraia wa Somalia Alshaabab ni afadhali kuliko fisadi huyu.Mungu yu mwema sana atamtia upofu tu!

ukiama nchi utakua unakosea. Chamsingi tuendele kuwapo nchi ili tutoe elimu ya urai kwa wananchi
 
binafsi sikufahamu kama ulikua ni mkutano wa waendesha bodaboda wapenzi na wanachama wa ccm.

Huo ndio ukweli au ni hisia zako? ?!!!!!

Na kwa nini ulienda mkutano wa watu hali hujui sifa za waalikwa!!!!!!

Kenge kwenye kundi la mamba???!!!!
 
Wanajamvi nawasalimu.
Dhumuni langu nikuwaomba mnifafanulie utata ninao upata. Kiukweli sijaelewa kwanini lowasa avae kofia ya chama kwenye tamasha la ufunguzi wa waendesha bodaboda!
Kwanza binafsi natambua lile tamasha si la kisiasa. Nitamasha lenye kuwakutanisha watu wenye itikadi ya vyama tofautitofauti.
Au laa itambulike lowasa amefungua tamasha la waendesha bodaboda ambao ni wanachama wa ccm.
Nawasilisha.

Muulize edward lowasa kwa nini aliamua kuvaa vile. Atakupa majibu.
 
Hajui mpangilio wa mavazi yaani hizi navaa wapi na zile navaa wapi.
 
Muulize edward lowasa kwa nini aliamua kuvaa vile. Atakupa majibu.

niulizie ili kama vp nifahamu kama ndiyo amekwisha anza sarakasi za kampeni au anatafuta kuitwa kwenye baraza jipya litakalo undwa tena na mr. Dhaifu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom