Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,159
- 1,054
- Thread starter
- #81
we unawaza buku 3 za ufipa?
jibu hoja acha mipasho ya kwenye kanga. lile tamasha liliandaliwa na uvccm ama....?..:A S-rap:!!!!!!!!!!
we unawaza buku 3 za ufipa?
Wanajamvi nawasalimu.
Dhumuni langu nikuwaomba mnifafanulie utata ninao upata. Kiukweli sijaelewa kwanini lowasa avae kofia ya chama kwenye tamasha la ufunguzi wa waendesha bodaboda!
Kwanza binafsi natambua lile tamasha si la kisiasa. Nitamasha lenye kuwakutanisha watu wenye itikadi ya vyama tofautitofauti.
Au laa itambulike lowasa amefungua tamasha la waendesha bodaboda ambao ni wanachama wa ccm.
Nawasilisha.
Mbona mnakuwa na utumwa huru, kwani kofia si jambo la kawaida, acheni majungu
Zile fulana za njano zilikuwa DONATED by EL,na kwa upande wa nyuma zimeandikwa
"BODA BODA DAY-donated by Edward Lowassa"
Happy noel
Jamaa anapenda sana RAHA......
![]()
na hawa waandishi wa habari ndo makanjanja wanaompaka mafuta huyu mtu mchafu,time will tell!
Zile fulana za njano zilikuwa DONATED by EL,na kwa upande wa nyuma zimeandikwa
"BODA BODA DAY-donated by Edward Lowassa"
Happy noel
Mbona mnakuwa na utumwa huru, kwani kofia si jambo la kawaida, acheni majungu
Kwako wewe mbumbumbu ni jambo la kawaida. Kwa werevu kama mimi na wengineo hapo kuna walakini. Kama vipi chukua hata kofia ya Jwtz, wakati wewe hata likuruta hukupitia.Then katiza nayo mitaa ya Lugalo ama kwingineko palipo na "watoto" wa Mwamunyange. Hapo ndipo utajua kuwa kuvaa kofia kiholela ni sawa ama laa kenge wewe!
Mbona mnakuwa na utumwa huru, kwani kofia si jambo la kawaida, acheni majungu
jibu hoja acha mipasho ya kwenye kanga. lile tamasha liliandaliwa na uvccm ama....?..:A S-rap:!!!!!!!!!!
Wanajamvi nawasalimu.
Dhumuni langu nikuwaomba mnifafanulie utata ninao upata. Kiukweli sijaelewa kwanini lowasa avae kofia ya chama kwenye tamasha la ufunguzi wa waendesha bodaboda!
Kwanza binafsi natambua lile tamasha si la kisiasa. Nitamasha lenye kuwakutanisha watu wenye itikadi ya vyama tofautitofauti.
Au laa itambulike lowasa amefungua tamasha la waendesha bodaboda ambao ni wanachama wa ccm.
Nawasilisha.
Hata wewe unaweza kutumia magwanda kulalia
Mwacheni Lowassa msimsakame japo mimi naona mnazidi kumuongezea umaarufu, suala la yeye kugombea uprezdaa mbona ni kawaida tuu kwani hata wale wooote wanaopiga ndogondogo wanafahamika hadi babu na wenzake wanafarakana kw ajili hiyohiyo?