Wanajamvi nawasalimu.
Dhumuni langu nikuwaomba mnifafanulie utata ninao upata. Kiukweli sijaelewa kwanini lowasa avae kofia ya chama kwenye tamasha la ufunguzi wa waendesha bodaboda!
Kwanza binafsi natambua lile tamasha si la kisiasa. Nitamasha lenye kuwakutanisha watu wenye itikadi ya vyama tofautitofauti.
Au laa itambulike lowasa amefungua tamasha la waendesha bodaboda ambao ni wanachama wa ccm.
Nawasilisha.
Lowassa ndiyo mgombea wa ccm 2015, hivi hapo ccm wapo kwenye kampeni tayari.