Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,159
- 1,054
- Thread starter
- #61
Huwa iko hivyo, rais mtarajiwa huwa ni ngumu sana kumuelewa.
vp,kwahiyo ndio anatengeneza team zake za kumsaidi kwenye kinyanganyiro cha urais?
Huwa iko hivyo, rais mtarajiwa huwa ni ngumu sana kumuelewa.
Angevaa kofia ya m4c ndio kungekuwa na issue.
hata mimi sijamuelewa si bora angevaa "helment"
Hajui mpangilio wa mavazi yaani hizi navaa wapi na zile navaa wapi.
kwahiyo mkuu! Ni picha gani ametupa tutafakari?
Wanajamvi nawasalimu.
Dhumuni langu nikuwaomba mnifafanulie utata ninao upata. Kiukweli sijaelewa kwanini lowasa avae kofia ya chama kwenye tamasha la ufunguzi wa waendesha bodaboda!
Kwanza binafsi natambua lile tamasha si la kisiasa. Nitamasha lenye kuwakutanisha watu wenye itikadi ya vyama tofautitofauti.
Au laa itambulike lowasa amefungua tamasha la waendesha bodaboda ambao ni wanachama wa ccm.
Nawasilisha.
tatizo lenu nyinyi watoto kwanzia miaka ya 80 mnamatatizo sana.
Ila kwa kukusaidia nataka kukujibu lenye tafakari pana,ila usiwe mvivu.
Unamjua baba yake edward?pia unajua alikua anatoka wapi? Je,unamjua kama alikwisha wai kuwa dc na pia unajua kama baba yake alikwisha wai kuwa waziri wa utali na mali asili?
Siku nyingine usipende kushabikia kitu usichokifahamu.
ila aise we ni noma!!!kwa kamba nimekunyoshea mikono juu,
Kila jambo wanataka kuingiza siasa ili wapate wafuasi wengi wa kuwasapoti.
KASHFA YA RICHMOND IMEMTAFUNA SANA MZEE WA WATU , hadi MAMBO YA KITAIFA ANAYAVALIA SARE ZA CCM .
Bwana mdogo ni jukumu la waandaa kongamano kuchagua mgeni rasmi........hata hivyo lowassa ni Kiongozi mahuhuri na mwenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya nchi.........CCM ina viongozi wengi na wana majukumu tofauti.......,najuwa angekuwa chadomo angelaumiwa ni mbinafsi,msaliti na mhaini.Wanajamvi nawasalimu.
Dhumuni langu nikuwaomba mnifafanulie utata ninao upata. Kiukweli sijaelewa kwanini lowasa avae kofia ya chama kwenye tamasha la ufunguzi wa waendesha bodaboda!
Kwanza binafsi natambua lile tamasha si la kisiasa. Nitamasha lenye kuwakutanisha watu wenye itikadi ya vyama tofautitofauti.
Au laa itambulike lowasa amefungua tamasha la waendesha bodaboda ambao ni wanachama wa ccm.
Nawasilisha.
Wanajamvi nawasalimu.
Dhumuni langu nikuwaomba mnifafanulie utata ninao upata. Kiukweli sijaelewa kwanini lowasa avae kofia ya chama kwenye tamasha la ufunguzi wa waendesha bodaboda!
Kwanza binafsi natambua lile tamasha si la kisiasa. Nitamasha lenye kuwakutanisha watu wenye itikadi ya vyama tofautitofauti.
Au laa itambulike lowasa amefungua tamasha la waendesha bodaboda ambao ni wanachama wa ccm.
Nawasilisha.
Wanajamvi nawasalimu.
Dhumuni langu nikuwaomba mnifafanulie utata ninao upata. Kiukweli sijaelewa kwanini lowasa avae kofia ya chama kwenye tamasha la ufunguzi wa waendesha bodaboda!
Kwanza binafsi natambua lile tamasha si la kisiasa. Nitamasha lenye kuwakutanisha watu wenye itikadi ya vyama tofautitofauti.
Au laa itambulike lowasa amefungua tamasha la waendesha bodaboda ambao ni wanachama wa ccm.
Nawasilisha.
Wanajamvi nawasalimu.
Dhumuni langu nikuwaomba mnifafanulie utata ninao upata. Kiukweli sijaelewa kwanini lowasa avae kofia ya chama kwenye tamasha la ufunguzi wa waendesha bodaboda!
Kwanza binafsi natambua lile tamasha si la kisiasa. Nitamasha lenye kuwakutanisha watu wenye itikadi ya vyama tofautitofauti.
Au laa itambulike lowasa amefungua tamasha la waendesha bodaboda ambao ni wanachama wa ccm.
Nawasilisha.
Inategemea alienda kukutana nao akiwa amevaa kofia gani, kwa maana ya authority. Kama alienda kukutana nao akiwa kama Mbunge mkereketwa wa CCM, alikuwa ana haki ya kuvaa hata FULLsuit ya CCM, achilia mbali kofia peke yake!
tayarisha lako uvae kofia ya taifa kama zitto
acha ujinga, yule ni lowassa na wewe ni nobody ndio maana hauoni unachowaza wala kufanya
tatizo ni nini??? acheni ujinga
unaendesha bodaboda?? kulikuwa na TOR ya kumwamboa asikitangaze CCM??
hivi watanzania huwa wanawaza nini hasa??
mkuu achananae kwani ajielewi? Kichwani anawaza buku 7 za kuanzia sikukuu.