Sijamuelewa Edward Lowassa

Noel france

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
998
736
Wanajamvi nawasalimu.
Dhumuni langu nikuwaomba mnifafanulie utata ninao upata. Kiukweli sijaelewa kwanini lowasa avae kofia ya chama kwenye tamasha la ufunguzi wa waendesha bodaboda!
Kwanza binafsi natambua lile tamasha si la kisiasa. Nitamasha lenye kuwakutanisha watu wenye itikadi ya vyama tofautitofauti.
Au laa itambulike lowasa amefungua tamasha la waendesha bodaboda ambao ni wanachama wa ccm.
Nawasilisha.

More update...

nasikia na mh. January anafungua tamasha la waendesha bodaboda kama lowasa alivyo fanya dar. Pia hujumbe na maudhi ni yale yale.
Alafu waalikwa ni walewale maswaiba. Alafu wote wamejinasibu wanataka kugombea urais.
Wenye kuunganisha doti kazi ni kwenu.
 
Wanajamvi nawasalimu.
Dhumuni langu nikuwaomba mnifafanulie utata ninao upata. Kiukweli sijaelewa kwanini lowasa avae kofia ya chama kwenye tamasha la ufunguzi wa waendesha bodaboda!
Kwanza binafsi natambua lile tamasha si la kisiasa. Nitamasha lenye kuwakutanisha watu wenye itikadi ya vyama tofautitofauti.
Au laa itambulike lowasa amefungua tamasha la waendesha bodaboda ambao ni wanachama wa ccm.
Nawasilisha.

huwezi kumwelewa kwa sababu wewe upo bavicha.
 
Kwa mtu mwenye akili timamu lazima kajiuliza hilo swali, siasa zetu ni za wendawazimu. Soma comment ya mwa4 anajielewa?

kiukweli inachanganya.sijajua kwa wale walio chama kimoja ndani ccm wamelichukuliaje jambo lile.
binafsi nalichukulia kama vile ndio ameanza kampeni za nje na ndani za kuwania urais.
 
Hivi unajua nani alileta hoja ya kufuta ushuru wa boda boda bungeni?au kwakuwa leo mnaona kavaa kofia ya ccm ndio inawakeleketa?

Na pia hakuomba kwenda,aliombwa,je unajua mkataba wake na viongozi wa boda boda ukoje! Arghhhhh,
 
unataka kujifanya haujui kilichopo behind the scene?!hii ni kampeni kama kampeni nyingine na iko wazi kabisaaaaaaa!!!!
 
kiukweli inachanganya.sijajua kwa wale walio chama kimoja ndani ccm wamelichukuliaje jambo lile.
binafsi nalichukulia kama vile ndio ameanza kampeni za nje na ndani za kuwania urais.

Kwani kampeni za Urais kaanza leo?? Kwani hizo harambee makanisani na misikini siyo sehemu ya kampeni??
 
Wanajamvi nawasalimu.
Dhumuni langu nikuwaomba mnifafanulie utata ninao upata. Kiukweli sijaelewa kwanini lowasa avae kofia ya chama kwenye tamasha la ufunguzi wa waendesha bodaboda!
Kwanza binafsi natambua lile tamasha si la kisiasa. Nitamasha lenye kuwakutanisha watu wenye itikadi ya vyama tofautitofauti.
Au laa itambulike lowasa amefungua tamasha la waendesha bodaboda ambao ni wanachama wa ccm.
Nawasilisha.

angalia hata nao boda boda nguo zao za njano... hii kitu iliandaliwa na uvccm
 
Hivi unajua nani alileta hoja ya kufuta ushuru wa boda boda bungeni?au kwakuwa leo mnaona kavaa kofia ya ccm ndio inawakeleketa?

Na pia hakuomba kwenda,aliombwa,je unajua mkataba wake na viongozi wa boda boda ukoje! Arghhhhh,

kwahiyo walio muomba ndiyo walimwambia avae kofia ya chama? pia na wale wote walio kuwa wanautangaza na kuunadi ikiwemo clouds nk, kumbe walikua wanamsaid mh.kuitangaza ccm! pia unaniaminisha nisema clouds ni chombo cha ccm kama ilivyo uhuru?
 
kwani ndo unajua leo??? clouds ni ccm wale hasa kibonde na kusaga
 
angalia hata nao boda boda nguo zao za njano... hii kitu iliandaliwa na uvccm[/QUO

quote_icon.png
By Noel france
Wanajamvi nawasalimu.
Dhumuni langu nikuwaomba mnifafanulie utata ninao upata. Kiukweli sijaelewa kwanini lowasa avae kofia ya chama kwenye tamasha la ufunguzi wa waendesha bodaboda!
Kwanza binafsi natambua lile tamasha si la kisiasa. Nitamasha lenye kuwakutanisha watu wenye itikadi ya vyama tofautitofauti.
Au laa itambulike lowasa amefungua tamasha la waendesha bodaboda ambao ni wanachama wa ccm.
Nawasilisha.

quote_icon.png
By Hebie
Kwa mtu mwenye akili timamu lazima kajiuliza hilo swali, siasa zetu ni za wendawazimu. Soma comment ya mwa4 anajielewa?

Hivi unajua nani alileta hoja ya kufuta ushuru wa boda boda bungeni?au kwakuwa leo mnaona kavaa kofia ya ccm ndio inawakeleketa?

Na pia hakuomba kwenda,aliombwa,je unajua mkataba wake na viongozi wa boda boda ukoje! Arghhhhh,

umemuelewa mzee wa lb7
 
huyo mwa4 haelewi anachokisema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom