Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,159
- 1,054
- Thread starter
- #101
Kwako wewe mbumbumbu ni jambo la kawaida. Kwa werevu kama mimi na wengineo hapo kuna walakini. Kama vipi chukua hata kofia ya Jwtz, wakati wewe hata likuruta hukupitia.Then katiza nayo mitaa ya Lugalo ama kwingineko palipo na "watoto" wa Mwamunyange. Hapo ndipo utajua kuwa kuvaa kofia kiholela ni sawa ama laa kenge wewe!
mkuu kwao wanaona sawa kiti moto kuliwa msikitini.