Eldorah2013
Senior Member
- Aug 6, 2013
- 119
- 61
mapenzi aisee....tulia maana atarudi mwenyewe
sasa km amevumilia mengi hayarekebishiki atarudije? Ndo km ile msemo "utanikumbuka" aaaahh wapi ndo imetoka ivo atangoja sana!
mapenzi aisee....tulia maana atarudi mwenyewe
Moment of silence please! For a dead relationship!🙁🙁🙁🙁🙁🙁
Huyo nkeo ntarajiwa anakufaa sana maana ni nkweli na mwenye uwazi. Hana ufinyu wa kufikiri na anatoa ndogondogo kwa ampendaye, ntu kama wewe. Anataka bwanake awe na ubunifu katika maisha. Sio kuongea tu halafu nchumali chwiiii! kila chiku tu. Anataka nchumali wako lakini badilia kimtazamo au chivyo njomba itakula kwako bhaaaaaa!Nimedumu na mpenzi wangu miaka mitatu jioni hii kani text hivi # maisha kwako bado sana na ww mwenyewe hujiongezi upo tu hapo. Ndio nakubali kuolewa na wewe lkn cjui maisha yngu yatakueje? Mbona men wengine wapo active, nashukur n ht cjazaaa maan cjui km tungekula.kaz unayowaz tukae tuongee kila siku tunaonge lkn hat kimoj yamebak maneno tu ndio maan nimepumzika maan naona tunazinguan tu.....Hata amu y harus sina maaaaa................🙂 nikiolewa ndio bas hvy
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Palapanda imelia!
Nimedumu na mpenzi wangu miaka mitatu jioni hii kani text hivi # maisha kwako bado sana na ww mwenyewe hujiongezi upo tu hapo. Ndio nakubali kuolewa na wewe lkn cjui maisha yngu yatakueje? Mbona men wengine wapo active, nashukur n ht cjazaaa maan cjui km tungekula.kaz unayowaz tukae tuongee kila siku tunaonge lkn hat kimoj yamebak maneno tu ndio maan nimepumzika maan naona tunazinguan tu.....Hata amu y harus sina maaaaa................🙂 nikiolewa ndio bas hvy
Dah mkuu inaonekana demu wako kapata mwekezaji mwingine kwa hiyo usione shida kama mkatabo wako umesitishwa kaweze kwingine ambapo bado kuna fursa, ni hayo tu mkuu
Mh!! Hapo hapo the future is totally blured... Jifariji na Gabrielle
Its clear huyo demu anapenda kugegedana n ww haumpgi game..dats why anasem haupo active like others n ww.unatak story tu yey anatak action bro...anaogopa.kuongia kwa.ndoa cz hato enjoy game coz haupo active..so brodah hebu jipange one day vizuri mshtukize kwa game zito kaka...hadi ashangae kuwa u rnt da same man she knew...
Mjibu hivi
'Naelewa your concern,na mimi pia sifurahishwi na hali hii
nataka nikuoe ili kwa pamoja tusaidiane kutatua hali hii
pale ntakaposhindwa kujiongeza wewe utanisaidia hata kwa ushauri
nitajitahidi uwe the happiest woman utakapokuwa mke wangu..
bado naona ukiwa na mimi utakuwa na furaha zaidi kuliko ukiwa na mwingine
ingawa kwa sasa hali haikufurahishi..