Sijajua hii SMS inamaaniisha kibuti au warning, msaada please

ana muhemko wa mambo yanayowatokea , mtulize muongee vizuri kwa upendo kwani anapitia wakati mgumu sana.
 
Nimedumu na mpenzi wangu miaka mitatu jioni hii kani text hivi "maisha kwako bado sana na wewe mwenyewe hujiongezi upo tu hapo. Ndio nakubali kuolewa na wewe lakini sijui maisha yangu yatakueje? Mbona men wengine wapo active, nashukuri na hata sijazaaa maana sijui kama tungekula. Kazi unayowazi tukae tuongee kila siku tunaonge lakani hata kimoja yamebaka maneno tu ndio maana nimepumzika maan naona tunazinguana tu, Hata amu ya harusi sina maaaaaa, nikiolewa ndio bas hivyo"

BACK TO THE REAL STORY

Huyu demu nilimpora jamaa flani alikua yupo airtel morroco pale na demu nilimkamata wakati anaanza first year UDSM nimefanya nae mambo mengi sana na kiukweli ananipenda sana, tatizo kwao Lindi me mkristu sitakiwi na yeye ni muislamu pure, kunizuia mimi wamemtafuta ustaadhi amuoe demu, kagoma, na wale wazazi hawanitaki, bi mkubwa angu kaenda wamemwambia hata tuende na milion mia binti yao haolewi na kafiri, binti karudi nikaamtia mimba, kaenda kwao likizo ya xmass na mwaka mpya wakajua wameichomoa, nikakasirika sana mimba imeanza miezi mitano imechomolewa?? Basi nikamchukia na mwanamke lolote asemalo me napuuza, janualy hii gari yangu imepata ajali nna kesi police wanataka hela na yeye anataka hela sijampa ugomvi unaendelea naishi niwezavyo now, I don't care, leo ndo kanitext hivyo, na muda huu kanitext #. Wewe unafikiri kwa miak yote kirahisi tu tunaachn.aaàaaaa sahau, to me I'm done with her.

ndo mwisho unafika hvo jpange
 
Mie sijambo, nimeshapanda tayari
Nimesikia leo ni birthday yako, na juzi ulifanyiwa birhday escape 1, sasa mpendwa una siku mbili za kuzaliwa au?

Sijambo kabisa my dear ram...natumai wewe pia! Ushamaliza kuandaa shamba??

PM Moderator, Mentor.
 
Last edited by a moderator:
Nimedumu na mpenzi wangu miaka mitatu jioni hii kani text hivi "maisha kwako bado sana na wewe mwenyewe hujiongezi upo tu hapo. Ndio nakubali kuolewa na wewe lakini sijui maisha yangu yatakueje? Mbona men wengine wapo active, nashukuri na hata sijazaaa maana sijui kama tungekula. Kazi unayowazi tukae tuongee kila siku tunaonge lakani hata kimoja yamebaka maneno tu ndio maana nimepumzika maan naona tunazinguana tu, Hata amu ya harusi sina maaaaaa, nikiolewa ndio bas hivyo"

BACK TO THE REAL STORY

Huyu demu nilimpora jamaa flani alikua yupo airtel morroco pale na demu nilimkamata wakati anaanza first year UDSM nimefanya nae mambo mengi sana na kiukweli ananipenda sana, tatizo kwao Lindi me mkristu sitakiwi na yeye ni muislamu pure, kunizuia mimi wamemtafuta ustaadhi amuoe demu, kagoma, na wale wazazi hawanitaki, bi mkubwa angu kaenda wamemwambia hata tuende na milion mia binti yao haolewi na kafiri, binti karudi nikaamtia mimba, kaenda kwao likizo ya xmass na mwaka mpya wakajua wameichomoa, nikakasirika sana mimba imeanza miezi mitano imechomolewa?? Basi nikamchukia na mwanamke lolote asemalo me napuuza, janualy hii gari yangu imepata ajali nna kesi police wanataka hela na yeye anataka hela sijampa ugomvi unaendelea naishi niwezavyo now, I don't care, leo ndo kanitext hivyo, na muda huu kanitext #. Wewe unafikiri kwa miak yote kirahisi tu tunaachn.aaàaaaa sahau, to me I'm done with her.

Wacha kulalama kama dada mjamzito!
Huyo changudoa wako.SIO MWISLAMU HATA KIDOGO!
Hilo.ni pashkuna la mjini. Umelitongoza ukaliuliza jina ; likakujibu ....ahhhhh mi naitwa leyla!
Kumbe Magedalena mnfyopo!

We katafute kitimoto mwingine! Mbona wamejaa tu!
 
Kam kuna mtu amepitia katika hii hali ya kupingwa kuishi na mtu umpendaye atakua anaelewa,
ila huyo dada ameshindwa kua strong angegoma kuitoa mimba..
Angebaki na msimamo wake suala la udini linakatisha mahusiano ya watu kwa kiasi chake..
Muulize alipokua anatuma hiyo sms alikua katika hali gani inaelekea mambo ya kupingwa na familia yake yamemchanganya,..
Vinginevyo fuata ushauri wa mkuu The Boss.
 
Last edited by a moderator:
Siamini yani,yani brother una gari lakini bado wanawake wa munini wanakuumiza kichwa?Me na simu yangu hii ya kutachi nawakimbiza haswa nikianza kupiga misele na baskeli yangu..

"Nlikuwepo":bolt:
 
hahaha mkuu umenichekesha sana ,ila huyo anahitaji duh wa kupanga nae maisha sio hao wa hit and run.
 
huyo dem hana shukrani...kama effort za kutosha umefanya nayeye kashuhudia..Wazee wake hawakutaki hilo sio tatizo lako.
Sasa mtu alokosa shukrani tunapaswa kumfanyaje? Toka mbio
 
Back
Top Bottom