Sijajua hii SMS inamaaniisha kibuti au warning, msaada please

Sijajua hii SMS inamaaniisha kibuti au warning, msaada please

Mjibu hivi

'Naelewa your concern,na mimi pia sifurahishwi na hali hii
nataka nikuoe ili kwa pamoja tusaidiane kutatua hali hii
pale ntakaposhindwa kujiongeza wewe utanisaidia hata kwa ushauri
nitajitahidi uwe the happiest woman utakapokuwa mke wangu..
bado naona ukiwa na mimi utakuwa na furaha zaidi kuliko ukiwa na mwingine
ingawa kwa sasa hali haikufurahishi..

mmh! kuna watu wana busara humu jamvini
MSATULAMBALI! this is one of the best answers
 
Last edited by a moderator:
Mhh huyo dada,hivi unawezaje kumwambia the man u claimed to love,'eti maisha kwako bado sanaa'..wenye nayo walizaliwa nayo??ya Mungu mengi ujue,ht km tunaachana siwezi toa maneno ya kumpotezea mtu dira kiasi hiki,huwezi jua atakuwa nani badae na wewe utakuwa nani,ohooo,life must go on,tuachane kistaarabu,with less maneno ya karaha,unless ikibidi
 
Umeongea....I'm speechless

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nimedumu na mpenzi wangu miaka mitatu jioni hii kani text hivi # maisha kwako bado sana na ww mwenyewe hujiongezi upo tu hapo. Ndio nakubali kuolewa na wewe lkn cjui maisha yngu yatakueje? Mbona men wengine wapo active, nashukur n ht cjazaaa maan cjui km tungekula.kaz unayowaz tukae tuongee kila siku tunaonge lkn hat kimoj yamebak maneno tu ndio maan nimepumzika maan naona tunazinguan tu.....Hata amu y harus sina maaaaa................🙂 nikiolewa ndio bas hvy

#########BACK TO THE REAL STORY

Huyu demu nilimpora jamaa flani alikua yupo airtel morroco pale na dem nilimkamata wakati anaanza first year UDSM nimefanya nae mambo mengi sana na kiukweli ananipenda sana, tatizo kwao lindi me mkristu sitakiwi na yeye ni muislamu pure, kunizuia mm wamemtafuta ustaadhi amuoe dem, kagoma, na wale wazazi hawanitaki, bi mkubwa angu kaenda wamemwambia hata tuende na milion mia binti yao haolewi na kafiri, binti karudi nikaamtia mimba, kaenda kwao likizo ya xmass na mwaka mpya wakajua wameichomoa, nikakasirika sana mimba imeanza miezi mitano imechomolewa?? Basi nikamchukia na mwanamke lolote asemalo me napuuza, janualy hii gari yangu imepata ajali nna kesi police wanataka hela na yeye anataka hela sijampa ugomvi unaendelea naishi niwezavyo now, I don't care, leo ndo kanitext hivyo......na muda huu kanitext #. Ww unafikir kw miak yote kirahis tu tunaachn.aaàaaaa sahau......to me I'm done with her

the issue ni kwamba u have been dumped,kwa mtizamo wa thread uliyotuma ku quote sms ya mpenz wako ni kwamba we ni mtu wa mipango mingi bila utekelezaji,hii ni hatari coz we know mwanamke mbali na mapenz pia anataka security ya maisha. So wewe songa mbele na uongee unachoweza kufanya.Ukisikia paaah ujue....
 
nini haja ya kujua maana ya hyo sms wakat mwishoni unasema "to me am done with her"
 
Nikushauri utafute maana ya NDOA,tena ile maana ya kiafrika.kwa mtazamo wangu huyo hawezi kuwa mwenzi wako wa maisha,hivyo vipingamizi vya wazazi vitawasumbua sana mkifanya kichwa ngumu na kuoana

Acha kufikiria mapenzi ya kitamthilia kwamba mnapendana basi wengine wote hawahusiki,ndoa haiko hivyo.ndugu wana nafasi sana kufanya safari yenu kuwa muruaaa

Usipuuze hizi indicators,achana nae kistaarabu.
 
Huwajui wanawake wewe! Huyo ameshakupiga chini,wanawake bana ni noma,kampata ---- anayempa vijicent vingi kuliko ww,c hivyo tu pengine huyo ---- kunako 6 by 6 anamkandamiza ipasavyo kiasi cha kukuona we mbwiga tu!

Katika nyakati hizi pesa ni kitu muhimu. Wazungu husema "no romance without finance"
 
Nimedumu na mpenzi wangu miaka mitatu jioni hii kani text hivi # maisha kwako bado sana na ww mwenyewe hujiongezi upo tu hapo. Ndio nakubali kuolewa na wewe lkn cjui maisha yngu yatakueje? Mbona men wengine wapo active, nashukur n ht cjazaaa maan cjui km tungekula.kaz unayowaz tukae tuongee kila siku tunaonge lkn hat kimoj yamebak maneno tu ndio maan nimepumzika maan naona tunazinguan tu.....Hata amu y harus sina maaaaa................🙂 nikiolewa ndio bas hvy

#########BACK TO THE REAL STORY

Huyu demu nilimpora jamaa flani alikua yupo airtel morroco pale na dem nilimkamata wakati anaanza first year UDSM nimefanya nae mambo mengi sana na kiukweli ananipenda sana, tatizo kwao lindi me mkristu sitakiwi na yeye ni muislamu pure, kunizuia mm wamemtafuta ustaadhi amuoe dem, kagoma, na wale wazazi hawanitaki, bi mkubwa angu kaenda wamemwambia hata tuende na milion mia binti yao haolewi na kafiri, binti karudi nikaamtia mimba, kaenda kwao likizo ya xmass na mwaka mpya wakajua wameichomoa, nikakasirika sana mimba imeanza miezi mitano imechomolewa?? Basi nikamchukia na mwanamke lolote asemalo me napuuza, janualy hii gari yangu imepata ajali nna kesi police wanataka hela na yeye anataka hela sijampa ugomvi unaendelea naishi niwezavyo now, I don't care, leo ndo kanitext hivyo......na muda huu kanitext #. Ww unafikir kw miak yote kirahis tu tunaachn.aaàaaaa sahau......to me I'm done with her

Pole xaaana
 
dah!
watu wana guuuuts!
ila best huy ndo mwanamke!
muoe!
she is very honest
na utakuwa booooooonge tajiri!
tumia hayo maneno yake kaa echo voice!
prove her wrong!
muoyeshe ur not juuust a poor lazy looser man that she is taking you for!
 
Hakupendi huyo kama anakupenda ataishi na wewe hao wazazi hata wangeongea nin asingewasikilizaa tena hawataki mahali sasa kama hao waislam hajawaona kama wewe
Wanakataa mahali yako halafu halaf hata pesa ta matumiz hawampi nyoooo hao wazazi wake
 
kitendo cha kutoa mimba bila ridhaa yako imeonyesha kabisa kuwa hataki kuwa na wewe.
na mpenzi ambaye leo anamua hili kesho lile ujue sio kabisa.
if you laove love totally and if you hate hate totally.
 
Back
Top Bottom