Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
hilo jina tu mrembo sipo hivyo kwani huja soma uzi wa oil chafuwewe kichwa ngumu nitakuwezea wapi mi napenda vitu laini
kama ni pm contact zako mpz
hilo jina tu mrembo sipo hivyo kwani huja soma uzi wa oil chafuwewe kichwa ngumu nitakuwezea wapi mi napenda vitu laini
ahahaaaa umeshachukua gari bandarini wewe!hilo jina tu mrembo sipo hivyo kwani huja soma uzi wa oil chafu
kama ni pm contact zako mpz
Mjibu hivi
'Naelewa your concern,na mimi pia sifurahishwi na hali hii
nataka nikuoe ili kwa pamoja tusaidiane kutatua hali hii
pale ntakaposhindwa kujiongeza wewe utanisaidia hata kwa ushauri
nitajitahidi uwe the happiest woman utakapokuwa mke wangu..
bado naona ukiwa na mimi utakuwa na furaha zaidi kuliko ukiwa na mwingine
ingawa kwa sasa hali haikufurahishi..
Ha ha ha haaah!! Hii nimeipenda.kimbia fasta..hata nyuma usiangalie
![]()
hapana kwa kuzingatia ushauri aliopewa kidolegumba alipouliza aanze na kununua gari au kujenga nyumbaahahaaaa umeshachukua gari bandarini wewe!
Mtu ambaye keshaamua kupiga chini hana muda wa kuandika mashairi marefu marefu.....majibu yake huwa ni ya mkato mkato.....Huyu anatafuata mediation.
Ahsante sana The Boss kwa busara zako...
Babu DC!!
mimi ninaye mtu tena nilikutana nae mitaa flani humuhumu jf banahapana kwa kuzingatia ushauri aliopewa kidolegumba alipouliza aanze na kununua gari au kujenga nyumba
mi nimejenga nyumba
huwezi jua anakupenda kwa kiasi gani? nakuomba unikubaliemimi ninaye mtu tena nilikutana nae mitaa flani humuhumu jf bana
Mjibu hivi
'Naelewa your concern,na mimi pia sifurahishwi na hali hii
nataka nikuoe ili kwa pamoja tusaidiane kutatua hali hii
pale ntakaposhindwa kujiongeza wewe utanisaidia hata kwa ushauri
nitajitahidi uwe the happiest woman utakapokuwa mke wangu..
bado naona ukiwa na mimi utakuwa na furaha zaidi kuliko ukiwa na mwingine
ingawa kwa sasa hali haikufurahishi..
Umepotea sana.... Heri ya mwaka mpya japo leo ni tarehe 27 jan
ndo hivo mkuu,kuna watu leo wapo hivi,after a year unaweza wasahau kwa big achievements zao...
neno KUOANA kwa kiswahili safi maana yake ni KUENDANA au KUFANANA,kiasi kwamba hata mkikaa pamoja maisha yatakuwa matamu,sasa nyinyi hamfanani wala hamuendani,mna tofauti kubwa hivyo hakuna KUOANA hapo