Sitaki nataka huyo... Kaza uzi unang'oa mzigo huoKuna binti nilimtamkia dhamira yangu ya kuwa nae kimapenzi.......... Lakini majibu yake yakawa hawezi kuwa na mimi kwa sababu ana mtu mwingine tayari..... Sikutaka kumsumbua sana, hivyo yakabaki mawasiliano ya kawaida tu. Hata hivyo kinachonishangaza ni pale ninapokuwa nimepata safari na akajua kwamba nimesafir bila kumpa taarifa, basi atalalamika huyo, anajinunisha mpaka nimuombe msamaha ndio yana isha!!! Baada ya kuona hivyo juzi nikamkumbusha tena dhamira yangu, jibu alilonipa ni kwamba hayuko tayari kuingia mapenzini!!! Sasa swali ni kwanini anapenda kujihusisha sana na mambo yanayonihusu as if mie ni hubby ake!???
try harder bana, si mnasemaga maharage ya mbeya hamuwataki nyinyi? sasa huyo sio maharage ya mbeya. add more effort.....
Siku hizi wote maharagwe ya Mbeya tu... Wanafanyaga maigizo tu....try harder bana, si mnasemaga maharage ya mbeya hamuwataki nyinyi? sasa huyo sio maharage ya mbeya. add more effort.....
Akijinunisha chunguza kama kweli anabf,kama anaye achana naye kuusu kujinunisha siku hiz had mke wa mtu ukizoeana naye then kesho upite na mwanamke atanuna
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
try harder bana, si mnasemaga maharage ya mbeya hamuwataki nyinyi? sasa huyo sio maharage ya mbeya. add more effort.....
Akijinunisha chunguza kama kweli anabf,kama anaye achana naye kuusu kujinunisha siku hiz had mke wa mtu ukizoeana naye then kesho upite na mwanamke atanuna
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
siku hizi kila mtu ni msanii duniani hapa, sasa cha ajabu ni nini?acha wafanye usaniii tu, ili mradi hawavunji sheria ya nchiSiku hizi wote maharagwe ya Mbeya tu... Wanafanyaga maigizo tu....
Tena akipata safari ndo amwambie anakwenda kumsalim huyo GF ndo ataona reaction kamili!mhhh next time mwambie una gf utapata jibu
Kuna binti nilimtamkia dhamira yangu ya kuwa nae kimapenzi.......... Lakini majibu yake yakawa hawezi kuwa na mimi kwa sababu ana mtu mwingine tayari..... Sikutaka kumsumbua sana, hivyo yakabaki mawasiliano ya kawaida tu. Hata hivyo kinachonishangaza ni pale ninapokuwa nimepata safari na akajua kwamba nimesafir bila kumpa taarifa, basi atalalamika huyo, anajinunisha mpaka nimuombe msamaha ndio yana isha!!! Baada ya kuona hivyo juzi nikamkumbusha tena dhamira yangu, jibu alilonipa ni kwamba hayuko tayari kuingia mapenzini!!! Sasa swali ni kwanini anapenda kujihusisha sana na mambo yanayonihusu as if mie ni hubby ake!???