sijajua ana maanisha nini kwa kweli!!!

Sahar

Senior Member
Jul 15, 2012
184
83
Kuna binti nilimtamkia dhamira yangu ya kuwa nae kimapenzi.......... Lakini majibu yake yakawa hawezi kuwa na mimi kwa sababu ana mtu mwingine tayari..... Sikutaka kumsumbua sana, hivyo yakabaki mawasiliano ya kawaida tu. Hata hivyo kinachonishangaza ni pale ninapokuwa nimepata safari na akajua kwamba nimesafir bila kumpa taarifa, basi atalalamika huyo, anajinunisha mpaka nimuombe msamaha ndio yana isha!!! Baada ya kuona hivyo juzi nikamkumbusha tena dhamira yangu, jibu alilonipa ni kwamba hayuko tayari kuingia mapenzini!!! Sasa swali ni kwanini anapenda kujihusisha sana na mambo yanayonihusu as if mie ni hubby ake!???
 
Sitaki nataka hizo wewe vumilia kama unampenda maana anaweza akawa anaangalia msimamo wako
 
Sitaki nataka huyo... Kaza uzi unang'oa mzigo huo
 
Sitaki nataka hizo wewe vumilia kama unampenda maana anaweza akawa anaangalia msimamo wako

yaani somtyms huwa nashangaa sana, ananihimiza sana nimtembelee (yupo UDSM) nisipoenda basi inakuwa tabu tupu!!!
 
  • Thanks
Reactions: LD
Akijinunisha chunguza kama kweli anabf,kama anaye achana naye kuusu kujinunisha siku hiz had mke wa mtu ukizoeana naye then kesho upite na mwanamke atanuna

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
try harder bana, si mnasemaga maharage ya mbeya hamuwataki nyinyi? sasa huyo sio maharage ya mbeya. add more effort.....

DEMBA kumbe ndio maana na wewe unanisumbua eee kwa kisingizio cha Kaizer. Sasa mimi sikati tama mpaka nikupate na uwe mke wangu wa ndoa yenye amani na furaha
 
  • Thanks
Reactions: LD
Ngoja nimuite asome ulivosema...
Hata kama alikuwa anakuhitaji lazma akupige chini....
 
Akijinunisha chunguza kama kweli anabf,kama anaye achana naye kuusu kujinunisha siku hiz had mke wa mtu ukizoeana naye then kesho upite na mwanamke atanuna

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

daah kweli aisee!! Unajua hata akinitext nikichelewa kujibu, ananipandia hewani kujua kulikoni!??? Yaani malalamiko yake ndio hunifanya nimfikirie mara mbili mbili!!!
 
Huyo ashaingia bandani, dawa yake ndogo sana. We mpotezee kabisa, akiuliza mwambie nimeamua ku-move on na maisha yangu, siwezi kusubiri milele. Utaona atavyokuja mbio kwako.
 
Kuna binti nilimtamkia dhamira yangu ya kuwa nae kimapenzi.......... Lakini majibu yake yakawa hawezi kuwa na mimi kwa sababu ana mtu mwingine tayari..... Sikutaka kumsumbua sana, hivyo yakabaki mawasiliano ya kawaida tu. Hata hivyo kinachonishangaza ni pale ninapokuwa nimepata safari na akajua kwamba nimesafir bila kumpa taarifa, basi atalalamika huyo, anajinunisha mpaka nimuombe msamaha ndio yana isha!!! Baada ya kuona hivyo juzi nikamkumbusha tena dhamira yangu, jibu alilonipa ni kwamba hayuko tayari kuingia mapenzini!!! Sasa swali ni kwanini anapenda kujihusisha sana na mambo yanayonihusu as if mie ni hubby ake!???

sizitaki mbichi hizi
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom