Mods mtela mwampamba apigwe ban,kwa kutoa taarifa za uongo.
Molemo, naona roho inakwenda mbio...
Inasikitisha sana mkuu. Yani humu kumekuwa hakuna tofauti na kule FB na Twitermods wanafanya maksudi.yaani hata kupiga simu kwa Beregu wameshindwa.wamemwacha Stela Mwampamba akifanya ujinga
Tunashukuru kwa kuni zenu zimeturahisishia kumwondoa kijogoo wenu, maana tulikuwa tunajiuliza pa kuanzia.Chochea kuni...
Juzi juzi SLAA alisema ZITTO hana shida bali ni watu wanawachonganisha, leo wamemnyang'anya madara, siasa bwana.
Mods ikithibitika aliyeleta uzi apewe LIFE BAN pamoja na kwamba ana ID nyingine atakayoendelea kuitumia
Molemo, naona roho inakwenda mbio...
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Prof. Mwesiga Baregu amekanusha vikali taarifa za kujiuzulu nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA zilizozagaa kwenye mitandao, asema hana mpango wa kufanya hivyo.
Professa Baregu amesema uvumi huo unaenezwa na CCM na vibaraka wake na kuendelea kusisitiza kwamba Chadema itaendelea kuwa moja na Imara zaidi.
Source:Mwananchi Breaking News
Mkuu Molemo, asante kwa taarifa. Prof. Beregu, kwa maoni yangu, ndio the only wise ndani ya CC ya Chadema akifuatiwa na JJ.Mnyika!. Ni mtu mwenye msimamo usioyumba na asiyekubali kupelekwa pelekwa kwa kutanguliza maslahi ya taidfa mbele ndipo nyuma chama kifuate, pale alipolazimishwa kujitoa kwenye Tume ya Katiba!, akawagomea kata kata hao "vichwa panzi" ambao kiukweli, mwanzo walikuwa na "uwezo" na "tuliwatumainia sana", ila sijui ni nini kimewapata!, uwezo wao unashuka kuelekea sifuri, zero, ila bado "watu" wanawatumainia", na ndio "wanawategemea" kwa 2015!.Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Prof. Mwesiga Baregu amekanusha vikali taarifa za kujiuzulu nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA zilizozagaa kwenye mitandao, asema hana mpango wa kufanya hivyo.
Professa Baregu amesema uvumi huo unaenezwa na CCM na vibaraka wake na kuendelea kusisitiza kwamba Chadema itaendelea kuwa moja na Imara zaidi.
Source:Mwananchi Breaking News
Rest in peace chademaYatasemwa meng lkn cdm inasonga mbele