Siipendi hii tabia

Sasa km mfuko haueleweki si angegoma kutoka Mxxiew!!
Kuchoreshana tu!! Wewe mnashare vipi plate ya msosi
Mfuko ukowa haueleweki huwa hamkubali, wacha muongopewe tu

Sema mwamba alichokosea ni hiyo kushare plate ya msosi, hapo alitakiwa akaushe
 
Weee thubutuu huwa mnasema hivi ila mnafanya kinyume chake, utakuta mwanamke ana hizo sifa ila unamuacha au unachepuka, kisa tu ni gogo hajui viuno kitandani unaenda kwa hao wanaojua
 
Babe si Msahahara ulikuwa bado ndio Umetoka leo!!

Sasa kwann umenitangaza humu ndani
 
Mkuu hao wanawake wanaowafaa kwenye shida na raha huwa mnawalipa nini zaidi ya kuwaacha mkishafanikiwa, na hata mkiwaoa mnawasaliti na wanawake ambao mlishindwa kuwapata kipindi hamkuwa na hela, mkiulizwa mnasema eti ndio maana tunawaoa sasa heshima ya hiyo ndoa iko wapi ikiwa hata hiyo michepuko inapata huduma (mapenzi, ngono, pesa na muda) sawa sawa na unavyompa mkeo ilihali hakuna chochote wanachooffer kwako zaidi ya ngono tu
 
Weee thubutuu huwa mnasema hivi ila mnafanya kinyume chake, utakuta mwanamke ana hizo sifa ila unamuacha au unachepuka, kisa tu ni gogo hajui viuno kitandani unaenda kwa hao wanaojua
Kuchepuka sio kumuacha mtu. Ni expansion joint tu. 😀

Haimaanishi mwanamke hapendwi ila tu mwanamke mmoja hatoshi kwetu wabantu. Lazma utakuwa unapooza rejeta mara moja moja.
 
Kulikuwa na haja gani ya kuandika "ameku ask.....nimefuta his number" huo ni ushamba na ulimbukeni
 
Weee thubutuu huwa mnasema hivi ila mnafanya kinyume chake, utakuta mwanamke ana hizo sifa ila unamuacha au unachepuka, kisa tu ni gogo hajui viuno kitandani unaenda kwa hao wanaojua
Viuno muhimu ....kuna vitu ni standard
 
Point nzuri hii
 
We tunaenda kula pweza tu mtaani na miguu ya kuku
hamna namna ingine

Kwakweli. Sasa mimi unipeleke mtoko sehemu pamepooza mimi si nitaboekaa? Huko mitaani ndio penyewe tunapa enjoooy mpaka na visingeli vya hapa na palee.
 
Kuchepuka sio kumuacha mtu. Ni expansion joint tu.

Haimaanishi mwanamke hapendwi ila tu mwanamke mmoja hatoshi kwetu wabantu. Lazma utakuwa unapooza rejeta mara moja moja.
Basi ndio mkubali kuanza wenyewe from the scratch ili mkianza kutumia hela zenu na wanawake wengine msiumize watoto wa watu waliowavumilia kwenye shida, ila hii ya kutaka mtoto wa mtu aanze na wewe halafu mwisho wa siku mkifanikiwa hela zako unataka ukatumie na wengine pia ambao hawakuwepo kwenye mahangaiko yenu haijakaa vizuri, acheni tu wanawake wote wafuate hela kwenu maana hamuna namuna ukitaka vitu toa hela simple tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…