Mwanaume kama huyo futa namba hakufai kabisa.
Hajiamini, hana uwezo wa kuishi na wewe.pia hongera we ni mwanamke unayejielewa.
Next few wks nitakuja na series ya kuwafunda wanaume jinsi ya kuandaa mtoko wenye mafanikio kwa Mwanamke unayekutana naye kwa mara ya kwanza
Tutajadiliana vifungu vifuatavyo
1. Jinsi ya kupanga kukutana
2. Namna ya kujiandaa kukutana
3. Namna ya kuvaa siku hiyo( hakuna haja ya gharama za nguo)
4. Jinsi ya kutembea
5. Tabia na mienendo za kuwa nazo au ,a kuepuka unapokuwa n mwanamke kwa mara ya kwanza.
Ktk uzi wa Mwanadada huyu ametaja mambo mazito ambayo braza kakosea sana na imepelekea Mwanadada kumuona ni mtu wa hovyo na hafai kuwa Mwanaume wake.
Stay tuned.