Siipendi chat, Invisible ikiwezekana iondoe tu............

Siipendi chat, Invisible ikiwezekana iondoe tu............

  • Thread starter Thread starter LD
  • Start date Start date
Mimi chit chat siipendi............ Paw, Fang, Cookie, @mods wote.............Mi siipendi Chit chat.

Chit chat ni Majanga tu................Say No to Chit Chat

kwani we alokutuma uchungulie huku nani,mbona majukwaa ni mengi,watu tunapunguzia stress humu afu we unasema ifungwe. usipoangalia utafungwa wewwe
 
Samahan humu ndan kwani kuna mtu kaashikwa vidole vya kubofya chitchat hutak chitchat kakae jukwaa lingine kwani ulitumwa ama ulikanyaga mdudu? jaman eeeeh huyu wawapi kwani.? mbona.hafanani na wanachitchat
 
Mimi chit chat siipendi............ Paw, Fang, Cookie, @mods wote.............Mi siipendi Chit chat.

Chit chat ni Majanga tu................Say No to Chit Chat

Tindikali si ipo!?? nawia usoni na chit chat itafutika instantly..! kunya anye jirani kuchamba uchambe wewe.. mbona majanga yana nafuu..
 
uwiii jamani naombeni mnifunge mikono yangu na super glue nisije kupata ban

Si upate tu kiishe....pata ban upumzike.....by the way habari ako bana

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Tindikali si ipo!?? nawia usoni na chit chat itafutika instantly..! kunya anye jirani kuchamba uchambe wewe.. mbona majanga yana nafuu..

Jirani anachafua mazingira kwa hicho ....kipindu pindu kijiji kizima.....we unauza tindikali? Manake wauza tundikali wanasakwa.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
habari my akanana Passion Lady? miss you mingi. hahahahaha kumbe humjui LD? ni mgeni kwako?mimi sijashangaa ata kidogo kwanza leo ndio ameeleweka kidogo, jaribu kufatilia historia yake ujionee na uangue vicheko.

Za siku nyingi bwana Rutta? Eti kuna LD mwingine humu?? Atakuwa kaiba password yangu, hebu nioneshe alipo tafadhali......ila chit inaniondolea afya yangu ya JF.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom