SanArt
JF-Expert Member
- Oct 14, 2026
- 808
- 1,370
Leo nataka nifungue ukurasa mpya..
Katika maisha yangu, nimekuja kuona ya kuwa ile dhana ya kufikiri kuna mtu anaona maono na kuelewa malengo yako, hayupo essentially.
Yaani kwa ulimwengu huu wenye distractions zisizo na ukomo sahau kabisa, kuja kupata mtu wa kutengeneza nae vision.. Mtu tayari anafahamika vyema na algorithm ya simu yake, zaidi ya wewe unavyo fahamu yeye..
Ndo maana hata mahusiano hayadumu, watu wawili hawawezi kukaa pamoja na kutulia because... Kila mtu ana feed information ambayo, iko specifically tailored kwa ajili yake, no connection na mtu kwasabu, ndo wanacho kitaka hawa asilimia moja wanao control asilimia 99.
Nimegundua, I need to be the change I wish to see... Hakuna anaye kujua zaidi yako, hata algorithm nakujua vyema kupita wazazi wako. Ndo maana unakuta mtoto anafanya vitu kwa siri, because anadhani chat GPT ndo mshauri na mwenye hekima kuliko wazazi halisi...
Mimi naona, kama kweli nimefunguka ukurasa mpya, ni kheri Nika achana na kila expectation ambayo ni outside of me.
Kila ninapokwenda mtaani, hasa mjini unakuta watu wako wanachse tu hela, as if kuichase bila clear mind and goal ndo kuta wafanya watoboe but in real life kila kitu ili kikiwe lazima mbegu zipandwe, zimee na ziwe na uvumilivu wa kiangazi na ukame, kwenye giza ambako hata hakuna mtu wa kizitia moyo ndio inatakiwa zi push na kutoboa ardhi ili ziweze kuchipua..
Vivyo hivyo na wewe unapaswa, kujiona, wewe ni mbegu, ili niweze kuchipua na hatimaye kumea lazima ukubali kwenda katika giza, na mateso ya peke yako.
Have a nice Thursday.