Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,657
Hivi mtu akikuletea zengwe utafanyaje kwani?
Kuna kutupwa kulee na kutupa kulee! Moja na mbili ndivyo inavyotakikana kumfanyia mtu anae leta zengwe.
Hivi mtu akikuletea zengwe utafanyaje kwani?
Mimi chit chat siipendi............
Chit chat ni Majanga tu................Say No to Chit Chat
ahsante, upooo?
mmmmmmmmh hapananjoo nikuombee
nipooo
Hivi mtu akikuletea zengwe utafanyaje kwani?
wife wangu Heaven on earth upo wapi?. njoo shemejio akuone. Mia
C6 mimi ndio wa ubani wa figganigga.....wife wangu Heaven on earth upo wapi?. njoo shemejio akuone. Mia
Bibi.@LD njoo kwenye jukwaa langu langu la JF Doctor nikutibu una matatizo ya stress wewe. Bibie Lady doctor Mlete huku kwenye jukwaa la JF.Doctor nimpate kumtibu huyu bibie LD nije nimpe asali na kitunguu saumu apone maradhi yake.
wewe..............halafu lile deni mbona hulipi? Unakopa halafu urudishi mzee?
Dawa ya deni kulipa bana, lipa deni mzee.
Ni kweli kabisa mzee wa 100,tumepotea mpaka basi,ila kuanzia sasa naahidi nitarudi tena ndani ya ngwe.Hahahahaaaa......!!. Habari za kuadimika @ld? Lady doctor alipo jiunga nikajua ni wewe umebadili id.
Hivi chit chat ikifutwa si utapoteza ahamu?. sema hawa madogo walio wengi hawajui kama wewe ndo mwasisi wa chit chat. Ulitakiwa uje ba akina Lizzy, WiseLady, FirstLady, Preta, Washawasha, Husninyo, Dena Amsi, Kaka Kiiza na kampani yako yote. Mnapotea hadi wageni hawawajui?. Muwe mnakuja kusalimia. Hapa Passion Lady, Arabela, na akina Slave wanashangaa huyu mrembo wa wapi. Inabidi angarau hata kwa wiki uwe unakuja chit chat mara moja kama vivian. mia