figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,193
- 64,622
Kuchati tuchati sie vichechede vyetu sie afya ukose wewe .......majanga
Hahahahahaaaa.....!!!!. Mia
Kuchati tuchati sie vichechede vyetu sie afya ukose wewe .......majanga
saa ngapi ya nini?
Ndo ninyi mnaonywesha watu madawa ili muwatundike? Yani siipendi chit chat........nafanya kampeni hadi ifutwe. Mnaharibu JF yetu.
Mkuu mbona hukunijibu? Arabela kashakukubalia au kakataa?. mia
Mbuzi kafia kwa mwuza supu.
​teh teh teheeeeeee!!Aisee kumbe mkimwagwa huwa mnakuja na Id nyingine eh?
Eeeh mnakujaga na Id zingine
Alishakubali kitambo now kwa sasa yupo ubavuni mwangu
unataka kupata umaarufu kwa kupata comments nyingi eh kajipange upya