Siipendi CHADEMA

Siipendi CHADEMA

Kama huipendi chadema chukua sumu ya panya unywe ufe kabisa magamba weee

Ndugu yangu hata mie nilitaka kumjibu mleta mada kama wewe ulivyomjibu ila nikachukua muda wangu kuusoma huu uzi tena nikamuelewa....Naomba nawe ufanye hivyo...

Kimsingi Chadema inasifiwa na sio kuchukiwa....
 
Njoo pwani tukufundishe lugha pwani ya mto simiyu,muulize kileo hana hamu lwakatare ndiyo kabisa.

Labda lugha ya kumwagia watu tindikali ili mkawafanye maonesho kwenye kampeni, shukuruni Mungu mwingine naskia naye kimeshaeleweka huko Gairo, imeongezeka sera nyingine kwenu
 
Ndugu yangu hata mie nilitaka kumjibu mleta mada kama wewe ulivyomjibu ila nikachukua muda wangu kuusoma huu uzi tena nikamuelewa....Naomba nawe ufanye hivyo...

Kimsingi Chadema inasifiwa na sio kuchukiwa....
Inasifiwa na mtei tu na wachaga wa moshi hakuna kwingine,huwezi kusifia watu wanaoua watu.
 
Chadema inawaelimisha wanasnchi kuhusu weixi wa rasilimali kiasi cha kufanya chama chetu tukufu cha ccm kukosa ulaji wa kutosha.
 
Kumbuka kunamtu alipata zero mnaye na wengine wagonjwa wawili.

Upinda unawasumbua........!
Wagonjwa wawili mbona waliondoka wamehamia kwenu baada yakuona kule ni kwa watu wenye afya zao.Bila shaka unawaongelea Shonza na mwenzie.
 
Kusha kucha na makucha yake. Chizi mmoja anaokota lundo lake la matakataka huko atokako kisha alileta kwenye kadamnasi ya watu, ghafra wanatokea wendawazimu wenzake nakuanza kuya gombea yale matakataka hali inayo pelekea harufu mbaya pale kwenye ile kadamnasi nawatu wenye akili kuanza kubana pua zao kukwepa harufu ile, hali inazidi kua mbaya mwisho wenye akili wanalazimika kutawa nyika nakuwaacha vichaa watupu wakiendelea kutawanya zile takataka zao. (chukua hatua)

Wakati huo na mwenye akili mmoja nae ameshiriki kutawanya zile takataka, hajatofautiana na wale machizi
 
Sio akili kubwa kwasababu kwa hali tuliyofikia mpaka hzo phd zinahujumiwa.....!
Mr dhaifu nae anaitwa Dr Jah

Hujajibu swali bali umejitetea tu kwenye hamna!jibu swali pamoja na kwamba halikuwa lako umeamua kulivaa lijibu basi Miss!
 
"umepiliwa"?? kweli CHADEMA imeua elimu yetu.
Chadema imeua utaifa na uzalendo,sera za majimbo zimewafanya baadhi ya watu kuwa na fikra za kujitenga na kujiona bora.

Upinda unawasumbua........!
Wagonjwa wawili mbona waliondoka wamehamia kwenu baada yakuona kule ni kwa watu wenye afya zao.Bila shaka unawaongelea Shonza na mwenzie.

Angalia ipo siku utakupindua na ww!
 
Upinda unawasumbua........!
Wagonjwa wawili mbona waliondoka wamehamia kwenu baada yakuona kule ni kwa watu wenye afya zao.Bila shaka unawaongelea Shonza na mwenzie.
Kuna yule mgonjwa anayetibiwa na kigwangala anakale katatizo cha kichwani kama kofia.
 
Inasifiwa na mtei tu na wachaga wa moshi hakuna kwingine,huwezi kusifia watu wanaoua watu.

Wewe wasema...Hivi kule Mbeya nako siku hizi wanaishi wachaga tu? Jimbo la Mnyika na Mdee na mengineyo nayo ni wachaga tu?
Akili za kuambiwa changanya na za kwako.....
 
Back
Top Bottom