Siipendi CHADEMA

Siipendi CHADEMA

Kusha kucha na makucha yake. Chizi mmoja anaokota lundo lake la matakataka huko atokako kisha alileta kwenye kadamnasi ya watu, ghafra wanatokea wendawazimu wenzake nakuanza kuya gombea yale matakataka hali inayo pelekea harufu mbaya pale kwenye ile kadamnasi nawatu wenye akili kuanza kubana pua zao kukwepa harufu ile, hali inazidi kua mbaya mwisho wenye akili wanalazimika kutawa nyika nakuwaacha vichaa watupu wakiendelea kutawanya zile takataka zao. (chukua hatua)

Mkuu, naona we ni kama mimi tu kwamba wote hatuipendi chadema
 
Bora mipasho mkuu kuliko matusi na wazinzi wa kupora wake za watu hii dhambi hamtaikimbia mkuu.


Mkuu unamanisha uzinzi wa wake za watu igunga, hawezi acha sasa ameongeza na kale kadada ketu ka mbeya

Yeye anasema kakuku ka kyenyeji.
 
Mleta uzi ni mnafiki alichokiandika ni madongo kwa chama tawala.


Mkuu Mingoi, unafiki wangu unatoka wapi tena wakati nmeweka wazi kwamba siipendi chadema na sababu nimezitoa?
 
Kweli mkuu Chadema imejenga shule, barabara, zahanati hata vyuo. Hata sisi tumepata elimu kwa juhudi za cdm. CDM oyeeeeeee
 
Ni kweli mkuu na sijui kama anaendelea na dawa alizoambiwa na kigwangala.

Namchukia Lisu maana kichaa chake sio kama cha wengine....Cha kwake kinawapeleka puta watu wengi, akipewa mic hata mwenye kigoda anapata hofu....Kichaa chake kilimtia hofu mkuu wa kaya na kusema ni bora Slaa mara..... kuliko Lisu kutinga bungeni.........
 
Yameanza mabomu tena?.........

Mabomu ya kukuzuia kufika kwa Dr.kwa sababu Jose na Kamili..oni wamejifunga nayo kila kona acha kabisa usiwasogelee mdogo wangu watakufutilia mbali wakali hao kwa sasa?! watafute wengine kama wakina Baba V.
 
Back
Top Bottom