mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 1,195
- 1,626
Kama huipendi chadema chukua sumu ya panya unywe ufe kabisa magamba weee
Huwezi kupenda chadema wakati inaua watu kwa mabomu.
Kenge anamiguu mingapi yawezekana na wewe ni miongoni.Na mtaisoma namba mwaka huu kenge ninyi.
Chadema sijui matamko yao yamewaisha wiki hii sijasikia au watatoa kesho.
Hata mama yake zito walitaka kumuuwa.Chadema inaua watu kwa mabomu ikishirikiana na Mwigulu Nchemba na Paul Chagonja
Mbona mwenyekiti wako akili yake ndogo anaongoza watu wenye phd na maprf.
Kenge anamiguu mingapi yawezekana na wewe ni miongoni.
Hata mama yake zito walitaka kumuuwa.
Phd ndo akil kubwa?
Chadema inawanaharakati haina wanachama na zaidi imejaza magaidi.Chadema wana wafuasi wengi, wewe mtu mmoja usipo ipenda au kuiunga mkono chadema haita yumba kamwe, kwanza hata chama unacho kipenda hukisaidii kwa lolote ilikiwepo porojo ndio nyiiingi,
Huyu ni mchumia tumbo hana lolote.