Siipendi CHADEMA

Siipendi CHADEMA

ukiunganisa shahada za kanisani alizopata SLAA haziwezi kufikia hata moja ya JK. Ukumnuke hata mapadre wengine wakitaka elimu zao walizopata makanisani zitambulike huwa wanajitahidi kusoma vyuo vya elimu vinavyotambulika , tuambie SLAA kasoma chuo gani kinachotambulika.

Hoja hapa sio upadre wala kanisa......!
Hoja ni Phd ndo akili,Ss Huyo Dr Jah kaisomea wapi hiyo?kama sio zawadi tu kama barabara ya ocean kupewa mmarekani.
 
Upinda unawasumbua........!
Wagonjwa wawili mbona waliondoka wamehamia kwenu baada yakuona kule ni kwa watu wenye afya zao.Bila shaka unawaongelea Shonza na mwenzie.

Miss angalia usije kupita kwenye anga za Dr Slaa lazima mtazipiga na Josephine.
 
Chama ambacho mwenyekiti wake ni proven DHAIFU, na waliyemwamini na kumpa uwaziri mkubwa amethibitishwa na mahakama kuwa kweli ni MP.UMBA.VU na katibu wake mkuu ni JANGILI KUU na naibu wake bara ni MASTERMIND wa mipango yote ya mauaji, utekaji, kumwagia watu tindikali,na kurusha mabomu mikutanoni ni chama chenye laana. waombee wabadilike...
 
komba,nkamia,lusinde,majimarefu and co.

hao wote wana CV zao nzuri tu kwa taifa, sasa tuambie hawa wapumbavu LEMA, SUGU, MSIGWA(anaamika sana kwa kuombea akina mama huku akiwapapasa matiti) wana lipi la kuwakumbusha watanzania?
 
Mimi naipenda Chadema lakini siwapendi vijana wa Bavicha kwa kunywa viroba.

Pamoja na Kunywa Viroba lakini mimi pia siwapendi kwa masuala yao ya kutembea na sumu mifukoni,muda wote unakuta wamekunja mikono mifukoni wameshikilia sumu,hata kwenye baa!hili linanikwaza sana inaonesha hawajiamini kabisa!
 
Wewe wasema...Hivi kule Mbeya nako siku hizi wanaishi wachaga tu? Jimbo la Mnyika na Mdee na mengineyo nayo ni wachaga tu?
Akili za kuambiwa changanya na za kwako.....
Hujui waliompigia kura mnyika ni wachaga wa kimara tu na zingine aliiba tu.
 
Miss angalia usije kupita kwenye anga za Dr Slaa lazima mtazipiga na Josephine.

Heri yake yeye atapigana na Josephine tu.. wewe Dar hapo angalia usiguse mwanamke yeyote asijekuwa wa mwenyekiti dhaifu yakakukuta yalioikuta familia ya NGUZA..
 
Hoja hapa sio upadre wala kanisa......!
Hoja ni Phd ndo akili,Ss Huyo Dr Jah kaisomea wapi hiyo?kama sio zawadi tu kama barabara ya ocean kupewa mmarekani.
Phd ya dini haitambuliki kwenye maswala ya uongozi arudi tu kanisani.
 
Hoja hapa sio upadre wala kanisa......!
Hoja ni Phd ndo akili,Ss Huyo Dr Jah kaisomea wapi hiyo?kama sio zawadi tu kama barabara ya ocean kupewa mmarekani.

Hoja hapa Siipendi Chadema, akili ndogo inaongoza Akili kubwa, Mbowe darasa la saba, Lema darasa la saba wanawaongoza akili kubwa Prof. Baregu, Prof. Safari.
 
Mkuu bado itakuchanganya sana mpaka umwache uliyenaye.

Nimeshahama mkuu

CCm na mipasho ya akina chagonja hila na uwongo mfano (mwangosi kauliwa na cdm, mwe picha zakamuumbua chagonja)

CCm na mipasho ya akina mwigulu, msipoichaguwa ccm arusha mtakufa- kweli kesho yake wakafa kwa bomu mwigulu mbio bungeni dodoma akiwa na kihoro)

CCm na mipasho ya akina Mulugo na kawambwa na kikwete (waalimu mkiandamana tutawapiga; walimu watoto watafeli na kweli 90% watoto wamefeli. watoto wa makada wa ccm wanasoma fedha na st francis wa kwetu shule za kata mwe!!)

CCm na mipasho ya akina huseni mwinyi huduma za afya ni bora (ukienda mwananyamala wakinamama wanazalia chini na wamepangana vitandani kama kambale katika bwawa linalokaukiwa maji)

Mkuu nimesha achana na ccm nahitaji mabadiliko, nawewe acha ukada wako kwa ccm watete ndugu zako wanaokufa

huko vijijini kwa kukosa huduma za msingi kutoka serikali ya ccm.
 
Heri yake yeye atapigana na Josephine tu.. wewe Dar hapo angalia usiguse mwanamke yeyote asijekuwa wa mwenyekiti dhaifu yakakukuta yalioikuta familia ya NGUZA..
Mbona unamtamani sana kila siku unamtaja lakini hapendi wachafu,jitathimini kwanza.
 
Naichukia Chadema walitaka kumwangamiza Reginald Mengi kwa kutumia polisi wenye vyeo mbalimbali..issue hii ilivuma sana kwenye vyombo vya habari wakitajwa polisi kwa vyeo vyao na majina yao...Chadema hawa hawa wakafanikiwa tena kuizima hii kesi mpaka leo......
Copy Baba V
 
Last edited by a moderator:
Heri yake yeye atapigana na Josephine tu.. wewe Dar hapo angalia usiguse mwanamke yeyote asijekuwa wa mwenyekiti dhaifu yakakukuta yalioikuta familia ya NGUZA..

Kwa hiyo unamaanisha kwamba Miss awe makini sana kwa sababu anakaribia kuingia kwenye 18 za sijui Jose nani vile ulivyomuita?!
 
Nimeshahama mkuu

CCm na mipasho ya akina chagonja hila na uwongo mfano (mwangosi kauliwa na cdm, mwe picha zakamuumbua chagonja)

CCm na mipasho ya akina mwigulu, msipoichaguwa ccm arusha mtakufa- kweli kesho yake wakafa kwa bomu mwigulu mbio bungeni dodoma akiwa na kihoro)

CCm na mipasho ya akina Mulugo na kawambwa na kikwete (waalimu mkiandamana tutawapiga; walimu watoto watafeli na kweli 90% watoto wamefeli. watoto wa makada wa ccm wanasoma fedha na st francis wa kwetu shule za kata mwe!!)

CCm na mipasho ya akina huseni mwinyi huduma za afya ni bora (ukienda mwananyamala wakinamama wanazalia chini na wamepangana vitandani kama kambale katika bwawa linalokaukiwa maji)

Mkuu nimesha achana na ccm nahitaji mabadiliko, nawewe acha ukada wako kwa ccm watete ndugu zako wanaokufa

huko vijijini kwa kukosa huduma za msingi kutoka serikali ya ccm.
Bora mipasho mkuu kuliko matusi na wazinzi wa kupora wake za watu hii dhambi hamtaikimbia mkuu.
 
Heri yake yeye atapigana na Josephine tu.. wewe Dar hapo angalia usiguse mwanamke yeyote asijekuwa wa mwenyekiti dhaifu yakakukuta yalioikuta familia ya NGUZA..

Nani alikuoambia atapigana na Josephine tu? Rose kamili je?
 
Back
Top Bottom