Siipendi CHADEMA

Siipendi CHADEMA

hapa Haiti mtu yoyote kwani mleta mada ni mchumia tumbo; isitoshe hana sifa kuwa mwananachadema kufa na magamba yako
Imekuuma ehee?!,we
mwenyewe hapo ulipo ni mchumia Tumbo tena unazisaka kwa kutumia sumu
hadi kwenye baa.
 
sijawahi kutoa lugha chafu humu jamvini hata siku moja na ndio maana sijawahi kupewa likizo ya lazima, niletee post yoyote ile niliyo toa lugha ya kuudhi km ipo?

Unalia kitu gani mchadema wewe?
 
Unawalaumu washangiliaji badala ya warusha mabomu Chadema hivi akili yako inafanya kazi au umeiweka rehani Togo?

Kwa nini usiishauri serikali yenu ya "chama cha mapungufu" iwapeleke mahakamani hao CHADEMA!?? au inawaogopa??
 
Kwa nini usiishauri serikali yenu ya "chama cha mapungufu" iwapeleke mahakamani hao CHADEMA!?? au inawaogopa??

Mahakama yenu ni wananchi; hapo ndipo utapoona nguvu ya chama makini CCM; mganga njaa kama wewe itabidi urudi Kibugumo tu kuendelea na kilimo; mmeufanya mji umejaa kwa kukimbilia mjini!
 
Mkuu chama,

Achana huyo kauzu mnafiki tu.

Mkuu Ritz
Kauzu ameshajipoteza mwenyewe game kubwa hii haiwezi; waganga njaa wanalikimbia jukwaa kwa umakini wetu sasa wanakuja mapimbi wadogowadogo kuja kuchafua watu; wazee wao wanaadika ngonjera kwenye jukwaa la great thinkers pumba zimehamia huko siku hizi!
 
Last edited by a moderator:
Dr SLAA APELEKA UMBEA KWA WAMAREKANI;

Habari za uhakika zilizopatikana hivi punde zinaeleza kwamba,

Katika kile kinachotafsiriwa kuwa ni fitina,chuki au kukosa uzalendo katibu mkuu wa chadema Dr wilbrod Slaa alikutana na maafisa ubalozi na maafisa wa state-department ya marekani na kuwaeleza kwamba serikali ya tanzania haina utawala wa kisheria badala yake inasimamia mauaji ya watu wake.

mkutano huo ulifanyika katika ofisi za chadema kinondoni jana tarehe 29/6/2013 saa nne asubuhi dar-es-salaam. Pamoja na mambo mengine slaa aliwaomba maafisa hao waishauri serikali yao kuacha kutoa misaada kwa tanzania,kwa vile uongozi wake ni wa kiimla

lakini pia slaa alienda mbali zaidi na kuwataka maofisa hao waishauri serikali yao kuzishauri na nchi zingine zikiwemo za ulaya kusitisha misaada kwa tanzania.

slaa pia aliwakabidhi mikanda miwili ya mauaji ili waitumie kama kumbukumbu na ushahidi ambayo ni mauaji ya daud mwangosi kule iringa na tukio la kurushwa kwa bomu kwenye mkutano wa chadema kule arusha soweto.

Slaa aliwaomba maafisa hao watunze mikanda hiyo ili itumike kama ushahidi wa kuonesha kwamba tanzania siyo taifa salama.

mwisho slaa aliwaomba maafisa hao waishauri serikali yao kuisaidia chadema kuingia madarakani mwaka 2015.
 
Kwa nini usiishauri serikali yenu ya "chama cha mapungufu" iwapeleke mahakamani hao CHADEMA!?? au inawaogopa??
tatizo chama cha DEMOGHASIA DAMU NA MAANDAMANO hamjielewi, mnapandikiza chuki penye upendo, fitna penye maelewano na shari penye kheri
 
Mkuu Ritz
Kauzu ameshajipoteza mwenyewe game kubwa hii haiwezi; waganga njaa wanalikimbia jukwaa kwa umakini wetu sasa wanakuja mapimbi wadogowadogo kuja kuchafua watu; wazee wao wanaadika ngonjera kwenye jukwaa la great thinkers pumba zimehamia huko siku hizi!

muda wote mnautumia kujadili watu,eti huju ni mchadema badala ya kujadili kile alichokisema,typically parochial way of thinking
 
Last edited by a moderator:
Unalia kitu gani mchadema wewe?

mimi sifundishwi cha kusema kama wewe,sina muajiri anaenielekeza cha kusema km wewe hivyo tuna utofauti mkubwa sana mkuu.
 
Mkuu Ritz
Kauzu ameshajipoteza mwenyewe game kubwa hii haiwezi; waganga njaa wanalikimbia jukwaa kwa umakini wetu sasa wanakuja mapimbi wadogowadogo kuja kuchafua watu; wazee wao wanaadika ngonjera kwenye jukwaa la great thinkers pumba zimehamia huko siku hizi!

huko GT kuna pumba,ngonjera na taarab tofauti na hizi unazopost hapa?unless utuambie hiki au akili hii inayopost humu humu ndio hiyo hiyo inayopost kule GT kwasababu hapa hakuna unachofanya zaidi ya kuandika mafinyo finyo na mambo mengine yasiyoeleweka,umekuwa mtu wa hovyo sana siku za karibu.
 
Last edited by a moderator:
Lengo la mtoa mada la kupata umaarufu JF, kwa kuitaja CDM au Dr Slaa, limetimia.

Wengine 6, wanajiandaa kutoa thredi.
 
huko GT kuna pumba,ngonjera na taarab tofauti na hizi unazopost hapa?unless utuambie hiki au akili hii inayopost humu humu ndio hiyo hiyo inayopost kule GT kwasababu hapa hakuna unachofanya zaidi ya kuandika mafinyo finyo na mambo mengine yasiyoeleweka,umekuwa mtu wa hovyo sana siku za karibu.

kibolo hebu zimika kiana mchadema wewe una matatizo gani? nikifunguka uansema nakutusi hivi huoni kama wewe ni mgonjwa? Nenda kwenye zile pumba GT wako hili jukwaa sio saizi yako; kama una njaa sema vipi hujapita Togo kukinga maana leo mjini usafiri mgumu!
 
muda wote mnautumia kujadili watu,eti huju ni mchadema badala ya kujadili kile alichokisema,typically parochial way of thinking

sasa kwani Chdema ni majini? mgonjwa wewe tafuta tiba!
 
Back
Top Bottom