Siipendi CHADEMA

Siipendi CHADEMA

Narudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda CHADEMA kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.

1. CHADEMA imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.

Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii.

Mfano ni pale CHADEMA inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi.

2. CHADEMA kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM.

Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm.

3. CHADEMA kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c

4. Kitendo kiovu kinachofanywa na CHADEMA kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za CHADEMA ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake CHADEMA imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha CCM kutekeleza sera za CHADEMA.

5. CHADEMA imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.

Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.

mchunguze sana anayelia sana msibani.
 
mi pia naipenda ccm kwakuruhusu kila mtu kupora mali ya umma kwa namna anavyoweza. CHUKUA CHAKO MAPEMA
Narudia tena SIIPENDI
CHADEMA na sitakuja kuipenda CHADEMA kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.

1. CHADEMA imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba
kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na
"haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.

Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila
kufuata sheria na taratibu za nchi hii.

Mfano ni pale CHADEMA inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga
mabomu wananchi kwa kutumia polisi.

2. CHADEMA kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge
liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na
wenyeviti wa bunge kutoka CCM.

Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea
maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge
wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema
kwa wabunge wa ccm.

3. CHADEMA kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na
serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi
ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao
"halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c

4. Kitendo kiovu kinachofanywa na CHADEMA kuilazimisha CCM kuacha sera
zake na kutekeleza sera mbaya za CHADEMA ni kitendo ambacho hakivumiliki
na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu
tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na
kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake CHADEMA
imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha CCM
kutekeleza sera za CHADEMA.

5. CHADEMA imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA
kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili
suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu
wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio
sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.

Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi
hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.
 
sasa kwani Chdema ni majini? mgonjwa wewe tafuta tiba!

ni mara chache sana najiingiza kwenye malumbano yasiyo na tija kama haya,si utaratibu wangu mimi kuacha kujadili hoja na kumgeukia mtoa hoja, nimejikuta sina namna nyingine ya kuyakwepa kwasababu ndio njia pekee ya kukusaidia wewe kwasababu ktk siku za karibuni umekuwa mtu wa hovyo sana mkuu, ni vigumu kwa wewe mwenyewe kuli note hilo ila sisi watu wa nje tumeliona hilo na tuko tayari kukusaidia uondokane na huo mzigo wa ujinga huko kichwani mwako, kwa ulipofikia mkuu huna credibility ya kuniambia mimi nikatafute tiba lau wewe ndio ungetakiwa uwe chini ya uangalizi maalum wa dakkari kwa muda huu, usipochukua hatua mapema muda sio mwingi utaingia mtaani kuokota makopo na hao wagonjwa wenzio.
 
Kibolo maelezo yote ya nini? game imekushinda potelezea kiaina ngoma ngumu hii!!
 
I read this satirical thread and laughed whilst agreeing with some of the insinuations. Unfortunately MwanaJF Mpigilie may not be fully understood by some of our members.

Nakubaliana na Mh. Mpigilie kwamba wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopita WaTz wengi waliungana na wanaCCM kwa kukipa kula chama chao na sasa karibu watavimbirwa. Ni matumaini yetu kwamba tutawapatia laxative ifikapo Oktoba 2015 ili warudie afya bora.
 
Mbona mwenyekiti wako akili yake ndogo anaongoza watu wenye phd na maprf.

Tofautisha kuhudhuria shule na HEKIMA mkuu. Ujiulize ni kwa nini Suleiman aliomba apewe HEKIMA na Mungu licha ya kuwa na uhuru wa kutosha wa kuchagua chochote atakacho. Sote hatimaye tunajua kuwa alitokea kuwa kiongozi wa kupigiwa mfano. Viongozi wengi wa TZ walihudhuria shule lakini hawakuelimika!
 
THIS IS WHAT I ENCOURAGE..mnapodhihirisha ubovu na kuchoka akili.u are good at this.
 
Narudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda CHADEMA kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.

1. CHADEMA imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.

Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii.

Mfano ni pale CHADEMA inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi.

2. CHADEMA kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM.

Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm.

3. CHADEMA kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c

4. Kitendo kiovu kinachofanywa na CHADEMA kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za CHADEMA ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake CHADEMA imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha CCM kutekeleza sera za CHADEMA.

5. CHADEMA imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.

Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.
nani alisema chadema inakutaka?
 
Haingii akilini kabisa kama kuna watu wa kizazi cha nyakati hizi bado wanashabikia chama kinaitwa CCM. Dunia imebadilika sana na tunahitaji mabadiliko makubwa ya kiongozi ambayo yataendana na speed ya maendeleo ya dunia ya sasa. Viongozi hao wanatakiwa watoke kwenye kizazi kipya kabisa kisichokuwa na corrupt minds. Watanzania wenzangu tuachane na ccm kwakuwa hata dunia yasasa imeongia kwenye digital era. Hebu tujikumbushe kenya wameondokana na kitu inaitwa Kanu, Zambia the same. Why not Tanzania? what is holding Tanzania Back? We need to do something for our lovely country Tanzania. You guys should remember that Tanzania is rich in terms of land, resources and people, however, poverty is killing us. What have we not done right? Is it a curse?
 
Back
Top Bottom