Siipendi CHADEMA

Siipendi CHADEMA

Naunga mkono hoja Chama chenyewe kina wabunge 24 + 25 tu halafu wanatusumbua mno.

Sijui kifutwe tu au.....
 
kweli
Mizigo mko wengi Hata kusoma hamjui?

Yani wewe huna akili kabisa unachojaribu kutuambia ni kuwa chadema imekosea kuwaelimisha watanzania wengi ambao haki,rasilimali zao zimekuwa zikiporwa pamoja na elimu ya uraia ambayo wamekuwa wakiipata kupitia chadema na hayo yote unayoyasema ikiwa unamini hivyo basi amini kuwa serikali ya ccm ni dhaifu katika kuongoza na ndio sababu ya chadema ndio yanayong'ara .Mwisho jaribu kuelewa nini maana ya chama kikuu cha upinzani na wajibu wake. CDM UTAIPENDA.
mkuu hujanielewa, we are in the same side sema wewe umenimisconcept ndio maana umeamua kunitupia mawe yote hayo.
 
Visebengo hamkosi cha kusema; nyie maendeleo gani mnayoyachangia zaidi ya kuipaka matope serikali? Nipe mfano wa thread moja ya maendeleo mliyoileta nyie wanachadema? Haaaaa sikuangalia aliyesema upuuzi huu kumbe ni wewe kibol? Mnafiki mkubwa wewe si ndiye kinara wa kuitukana serikali? Hivi unaugua kisonono cha ubongo? Hujitambui hujijui upo kama zezeta!
cc Ritz
nashukuru kwa lugha zote chafu ulizozielekeza kwangu, nikuambie tu ndugu yangu mie sie kinara wa kuitukana serikali yangu lakini vile vile mie sie mtu wa kuimba utukufu ambao haupo mkuu,penye ukweli nitapasimamia hata kama nitakua upande wa shetani sitojali, mimi ni independent think tank sifundishwi cha kusema km baadhi ya ndugu zangu humu.
 
Pole sana, una madhambi ulyoitendea nchi hii. Bado kitambo kidogo tu yatajulikana
 
mkuu tunapangiana thread za kuchangia...

INAELEKEA HAO WATU SITA ULIWATAJA WANAKUUMIZA KICHWA SANA,, HEHE
kwani kuna mtu humu kakupangia sredi za kuchangia???????????
hapo kwenye blue sijawahi kuumizwa nao kichwa bali kinachonishangaza ni ushabiki wao wa kijinga hata kwenye mambo ya kipumbavu, inafikia hatua najiuliza hivi ujira wao ni shilingi ngapi?
 
ILA Waheshimiwa wa CCM wanaohalalisha na kushangilia umwagaji wa damu ndio tuwapende?
 
nashukuru kwa lugha zote chafu ulizozielekeza kwangu, nikuambie tu ndugu yangu mie sie kinara wa kuitukana serikali yangu lakini vile vile mie sie mtu wa kuimba utukufu ambao haupo mkuu,penye ukweli nitapasimamia hata kama nitakua upande wa shetani sitojali, mimi ni independent think tank sifundishwi cha kusema km baadhi ya ndugu zangu humu.

potelea na unafiki wako! Independent???? wewe ni Chadema mtupu wewe ni kinara wa matusi na lugha chafu ila kwasababu hizo nyimbo mnazoimba tunazijua na mmeshindwa kuzijibu ndipo mnapotaka kujitia ustaarabu msiozaliwa na nao kabla huajatapika hiki kinyesi ilipitia posts za nyuma?? sijakosea kusema una kisonono cha ubongo badala ya kujiliza tafuta tiba !!
 
ILA Waheshimiwa wa CCM wanaohalalisha na kushangilia umwagaji wa damu ndio tuwapende?

Unawalaumu washangiliaji badala ya warusha mabomu Chadema hivi akili yako inafanya kazi au umeiweka rehani Togo?
 
kwani kuna mtu humu kakupangia sredi za kuchangia???????????
hapo kwenye blue sijawahi kuumizwa nao kichwa bali kinachonishangaza ni ushabiki wao wa kijinga hata kwenye mambo ya kipumbavu, inafikia hatua najiuliza hivi ujira wao ni shilingi ngapi?

Naunga mkono hoja Chama chenyewe kina wabunge 24 + 25 tu halafu wanatusumbua mno.

Sijui kifutwe tu au....

UZURI Nyie mwajifuta wenyewe kwa ari na kasi mpya. Mwigulu indio anamwagia PETROL
 
potelea na unafiki wako! Independent???? wewe ni Chadema mtupu wewe ni kinara wa matusi na lugha chafu ila kwasababu hizo nyimbo mnazoimba tunazijua na mmeshindwa kuzijibu ndipo mnapotaka kujitia ustaarabu msiozaliwa na nao kabla huajatapika hiki kinyesi ilipitia posts za nyuma?? sijakosea kusema una kisonono cha ubongo badala ya kujiliza tafuta tiba !!
sijawahi kutoa lugha chafu humu jamvini hata siku moja na ndio maana sijawahi kupewa likizo ya lazima, niletee post yoyote ile niliyo toa lugha ya kuudhi km ipo?
 
Mwandishi ANA AKILI NYINGI SANA. Inahitaji AKILI NYINGI pia ili kuelewa alichoandika. Hongera kamanda
 
Narudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda CHADEMA kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.

1. CHADEMA imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.

Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii.

Mfano ni pale CHADEMA inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi.

2. CHADEMA kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM.

Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm.

3. CHADEMA kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c

4. Kitendo kiovu kinachofanywa na CHADEMA kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za CHADEMA ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake CHADEMA imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha CCM kutekeleza sera za CHADEMA.

5. CHADEMA imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.

Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.

Askari piga!... Pigeni hao!... .. PINDA!!!!... Ila angalieni mnapopiga raia watachoka na kuwageuzia kibao nyinyi na familia zenu.
 
1.CHADEMA hawafai kabisa ETI wanawaua wapiga kura wao kwa bomu ili washindwe uchaguzi alafu wajipatie umaarufu???
2.ETI wanamuita waziri wetu mkuu ETI mpmbav kisa tu kasema "wapigeni,tumechoka"sasa kama waziri wetu mkuu amechoka hawa CHADEMA walitaka asemeje?
3.Walivyo wajinga CHADEMA wamemhadaa hakimu mpaka katupilia mbali kesi inayomkabili mbunge wao aliyemtukana waziri mkuu.Sasa kama ni hivyo waziri wetu si ataonekana kweli mpmbav.CHADEMA KIFUTWE.MI NIMECHOKA.
 
Narudia tena SIIPENDI
CHADEMA na sitakuja kuipenda CHADEMA kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.

1. CHADEMA imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba
kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na
"haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.

Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila
kufuata sheria na taratibu za nchi hii.

Mfano ni pale CHADEMA inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga
mabomu wananchi kwa kutumia polisi.

2. CHADEMA kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge
liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na
wenyeviti wa bunge kutoka CCM.

Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea
maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge
wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema
kwa wabunge wa ccm.

3. CHADEMA kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na
serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi
ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao
"halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c

4. Kitendo kiovu kinachofanywa na CHADEMA kuilazimisha CCM kuacha sera
zake na kutekeleza sera mbaya za CHADEMA ni kitendo ambacho hakivumiliki
na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu
tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na
kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake CHADEMA
imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha CCM
kutekeleza sera za CHADEMA.

5. CHADEMA imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA
kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili
suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu
wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio
sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.

Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi
hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.

wewe mbwiga kwelikweli.
 
Narudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda CHADEMA kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.

1. CHADEMA imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.

Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii.

Mfano ni pale CHADEMA inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi.

2. CHADEMA kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM.

Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm.

3. CHADEMA kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c

4. Kitendo kiovu kinachofanywa na CHADEMA kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za CHADEMA ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake CHADEMA imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha CCM kutekeleza sera za CHADEMA.

5. CHADEMA imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.

Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.
nahisi una ujauzito wa mwigulu na utajifungua njiti mwenye utindio wa ubongo kama ccm!
 
mkuu hujanielewa, we are in the same side sema wewe umenimisconcept ndio maana umeamua knit updates mawe yote hayo.
mkuu hawezi kukuelewa maana kwa mtu wa ccm ni tusi kubwa mno
 
kwani kuna mtu humu kakupangia sredi za kuchangia???????????
hapo kwenye blue sijawahi kuumizwa nao kichwa bali kinachonishangaza ni ushabiki wao wa kijinga hata kwenye mambo ya kipumbavu, inafikia hatua najiuliza hivi ujira wao ni shilingi ngapi?

Wewe ndiyo -------- mkubwa unataka wachangie nini?
 
Hii ni dhahiri shahiri kua wana JF karibu wote ni chadema members cz wamemshambulia mtoa mada while kazungumza ukwel mtupu,,.....i hate politic
 
Back
Top Bottom