miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Hahaaaa!kwa hiyo na wewe tayari imekubabua eee?!,yani kweli we mlaini Miss saa tatu tu umebabuliwa?!
Alikuwa zeruzeru ghafla mzee wa uchukuzi .....!
Mnaumiza mpaka wezenu?
Hahaaaa!kwa hiyo na wewe tayari imekubabua eee?!,yani kweli we mlaini Miss saa tatu tu umebabuliwa?!
Hivi degree yako haijakusaidia muheshimiwa diwani ulimuweza tu yule mzee kumtoa umeya zaidi ya hapo dili limebuma ha ha under thirty unalama m.a.ka.lio ya mwigulu stupido youNa hasa ukizingatia kwamba kuna kijana wao shapu kweli kwa kutembea na kutumia sumu mifukoni mwake!
Wana kawaida ya kutoroka hospitali na kukatisha dozi hawa
Labda kama wewe hakimu.....!
Alisemwa Sugu lakini mahakama yenu,polisi wenu ,hakimu wenu lakini wamethibitisha kuwa Waziri mkubwa ni pumba.vu.
Singizieni tu watu kesi zenu zakutengeneza.
Kuipenda chadema ni sawa na kunywa sumu ili ufe huku unaona.
Hivi degree yako haijakusaidia muheshimiwa diwani ulimuweza tu yule mzee kumtoa umeya zaidi ya hapo dili limebuma ha ha under thirty unalama m.a.ka.lio ya mwigulu stupido you
Zile tuhuma za ugaidi alizotengeza Nchemba mbona zimefutwa au editor alibugi,ushahidi hadi Mbinguni hahahaaaa ona Mungu alivyomtapika sasa anatembea na kamba ya Ng'ombe kichaa kikimpanda wanamfungia kwenye buti..Ndio lwakatare anavyowatumiaga nyie vijana wake?? Ona alivyomtosa ludo saivi anaozea jela mtoto wa watu, ona kilewo anavyoteseka sasa. Say no to tindikali na sumu
umeitetea serikali na familia ya kikwete zaidi ya kukusaidia kununua magari kibao uwaziri umekosa,kuwa mfanyakazi wa TISS umestukiwa kilachabaki endelea na mwigulu na plan zenu za kusingizia ooh mama yangu anataka kuuawa na mwanchadema,sijui nani kamwagiwa tindikali sijui nani kalusha bomu ni guilty conscious pole kijana safari yako ya kisiasa imeingiwa giza wanaume wamekubana vitu katikati ya mapaja
Hebu chek na kilewo au lwakatare kwanza
Huwezi kuongozwa na heche then ukawa na sumu mfukoni ya kumuuwa zito halafu akiri yako ikafanya kazi vizuri.
Mpigilie ni -------- wamwisho(anajua hajui,lkn anajifanya anajua) na anataka kupotosha watu..ila huku jf watu tunajua sanaaaa.aende uku vjjn walipozoea kupotosha watu wao waliokubali kufanywa wajinga.
T. Lisu
Hata baada ya kwenda India kuchokonolewa ubongo bado huna akili sawa sawa hiyo PHD yako thesisi nini kisima cha ufitini ha ha ha utalijua jiji hasiria mpak kati ya utosi unachukia chama kilichokufundisha kuvaa soksi
Mtu akiwagusa tu na ukweli kidogo tu mnavyopagawa...!!
Kwa vile ni mchezo wenu jiendelezeni nao.Basi tutawatekenya na nyinyi....!
Mtaumwa sana kwa wenu upekepeke na litawachoma sana tu.Mabomu mlilipua CCM kwa maagizo ya RPC na Mwigulu
Mahakama imemuondolea kesi ya ugaidi lwakatale Jaribu kucheki na savimbi/Mwigulu aliitengenezea wapi ile video
Mahakama imemuondolea kesi ya tusi mh mbunge J. mbilinyi cheki na kamusi ya bunge maana ya mpu.m.bavu nini!
Mahakama itamuondolea kesi ya uzushi na kijinga kilewo kwa sababu ccm inatunga kesi na kubambikia wapinzani.
Jitazame mkuu ukiona wewe unafaidi ndani ya muundo/system ujuwe ndugu zako mijini na vijijini wanateseka kwa sera za
ccm zisizotekelezeka na kuishia kwenye uzushi na utapeli wa kisiasa.
Utazitoa wapi mkuu huwezi kupanga kumteka mama mtu mzima kama mama zito halafu msipate laana ya mungu.Hata hivyo sidhani kama nimewahi kuwa.na "akiri"
Mkuu Future tanzania, mi nimetoa tu hisia zangu kwamba siipendi chadema, kama we unaipenda chadema na nimekukwaza naomba unisamehe