Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Huwezi kupenda chadema wakati inaua watu kwa mabomu.
Bahati mbaya kukurupuka na kupost ugwadu bila kuelewa kilichoandikwa
Huwezi kupenda chadema wakati inaua watu kwa mabomu.
Wamesema wanaushahidi wa kupeleka kwa majaji mbona hawapeleki,mbona majaji wapo wengi tu wanasubiri nini kupeleka.
Akili za kumezeshwa na Lameck.
Chadomo wanatumia vibaya tekinolojia ya Soundwaves(sonic technology).baada ya kugundua kuwa wabunge wengi wa chama tawala ni wazee,wanapiga kelele bungeni hadi ngoma za masikio zinavibrate na kupeleka shockwaves hadi moyoni na kwenye ubongo!wamesababisha babu zetu kukosa usingizi bungeni!side effects zake ni pamoja na tabia ya mtu kukurupuka mara kwa mara na kusema ndiooo!wacha wapigwe ban kuingia bungeni.na hamna kuwapa muongozo kabisa.hasa huyu Lissu huyu,anachongaaa!nyambaf kabisa hawa!
......Jinamizi la Arusha litakusumbua sana.....wale watoto wasio na hatia wanaongea na Mungu.....Mtaumwa sana kwa wenu upekepeke na litawachoma sana tu.
Kwani mkuu wewe unalipi la kuwatetea mabwana wako? Kama si kuwa mtumwa wa wanaume wenzako? Elimu usomeshwe na kwashida na wazazi wako halafu pia ajira mpaka uwakitie goti wanaume wenzako? Sema ulidharau ushauri uliopewa na wazazi wako ulichagua Hkl badala ya combination maketable ona sasa umeishia na political science kazi kuzunguka na cm yako ya mchina kwenye mikutano ya wanaume wenzako na kupiga mapicha jioni ukirudi unaishia kudai ugali na mlenda kwa mama huku maingizo sifuri.
......Jinamizi la Arusha litakusumbua sana.....wale watoto wasio na hatia wanaongea na Mungu.....
Huku Mbowe na Lema wakimlinda muuaji kwa kukataa kumtaja.Mungu ukimaliza kuwasikiliza watoto ebu geukia hawa jamaa.......Jinamizi la Arusha litakusumbua sana.....wale watoto wasio na hatia wanaongea na Mungu.....
bila shaka wewe ni juliana wa kufyonzwa!una comment kitaarabu taarabu.Mtaumwa sana kwa wenu upekepeke na litawachoma sana tu.
Uwe mpole tu dada kashfa hazitusaidii hapa. unaongelea combination hapa.. wapi ambako combination ni "marketable"!?? you poor thing. na kama combination ingekuwa inalipa ungekuwa kwenye paylist ya elfu 7 za Lumumba!?? una id zaidi ya sita humu . shame on ME....!!! ha ha ha haaa...!!!
Chagonja kasema chadema wagumu hawadanganyiki kwa hiyo wataendelea kumtumia Nchemba,ma-RPC katika kutekeleza zoezi la ugaidi tanzania pamoja nakuiandama chadema kwa kumtumia DPP kwani wakichukua nchi 2015 viongozi wengi wa ccm na polis watawekwa ndani..Hebu cheki na sa8 akupe sumu kidogo au kilewo km ana tindikali
Chadomo wanatumia vibaya tekinolojia ya Soundwaves(sonic technology).baada ya kugundua kuwa wabunge wengi wa chama tawala ni wazee,wanapiga kelele bungeni hadi ngoma za masikio zinavibrate na kupeleka shockwaves hadi moyoni na kwenye ubongo!wamesababisha babu zetu kukosa usingizi bungeni!side effects zake ni pamoja na tabia ya mtu kukurupuka mara kwa mara na kusema ndiooo!wacha wapigwe ban kuingia bungeni.na hamna kuwapa muongozo kabisa.hasa huyu Lissu huyu,anachongaaa!nyambaf kabisa hawa!
Bahati mbaya kukurupuka na kupost ugwadu bila kuelewa kilichoandikwa
bila shaka wewe ni juliana wa kufyonzwa!una comment kitaarabu taarabu.
shame on you street girl!
Narudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda chadema kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.
1. Chadema imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.
Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii.
Mfano ni pale chadema inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi.
2. Chadema kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM.
Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm.
3. Chadema kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c
4. Kitendo kiovu kinachofanywa na chadema kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za chadema ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake chadema imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha ccm kutekeleza sera za chadema.
5. Chadema imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.
Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.
Alikuwa zeruzeru ghafla mzee wa uchukuzi .....!
Mnaumiza mpaka wezenu?
Zile damu za wana-arusha zimemtia uchiz Mwigulu sasa anatembea na kamba ya Ng'ombe ndani ya gari kikipanda wanamfunga..Hebu chek na kilewo au lwakatare kwanza