future tanzanian
Member
- May 12, 2013
- 8
- 2
Mpigilie ni -------- wamwisho(anajua hajui,lkn anajifanya anajua) na anataka kupotosha watu..ila huku jf watu tunajua sanaaaa.aende uku vjjn walipozoea kupotosha watu wao waliokubali kufanywa wajinga.
Kilewo mtu mbaya sana
Lakini si anayokweli.swala la maumbile ya mtu nadhani lingeachwa kama lilivyo, unless wewe ni --------.
Hakuna mtu anayeundiwa kesi mnajitekenya na kucheka wenyewe tu.Labda kama wewe hakimu.....!
Alisemwa Sugu lakini mahakama yenu,polisi wenu ,hakimu wenu lakini wamethibitisha kuwa Waziri mkubwa ni pumba.vu.
Singizieni tu watu kesi zenu zakutengeneza.
Wewe ndo utapunguza madaraka ya rais au tanzania unadhani ni chadema watu wako na busara zao,wako imara wanajenga taifa.
Kiongozi sina hakika kama ulikuwa sawa wakati unaandika hoja yao... ila kama umeandika ili uonekana umepost ni sawa...
Serikali sikivu ya ccm iko safarini!?! afu bebifesi anatwambia ,PIGA tu.. ahahahaaa...ha ha haaa...
Hakuna mtu anayeundiwa kesi mnajitekenya na kucheka wenyewe tu.
Slaa kuiba mke wa watu.
Mbowe kumiliki casino inayofanyakazi ya kuuza miili ya dada zetu.
Slaa kujikopesha mij 140mali ya walalahoi.
Ugaidi wa kuua, kung'oa kucha,meno bila ganzi.
Slaa kufukuza wanachama wote wanaopingana na mawazo yake.
Kuandaa mkakati maridadi wa kumchafua Zitto ili kuishusha cqedit yake katika jamii.
Ulipofeli ukaratibiwa mwingine kumuua ikiwemo kulegeza taili za gari yake na kumnywesha sumu yote haya kayaratibu slaa.
Lema kubaka huko Uk na kuuza madawa ya kulevya hapo Arusha-tetesi kutoka kwa mateja wa Arusha.
Aisee ngoja niishie hapa ila hiki chama kimejaa damu za binadamu tu.
Baba v punguza jazba usijali magogoni yenu itabakia humuhumu.
Sumu zenu balaa.....maana kama Kyembe ilimbabua kwel kweli.Hivi mnatoaga wapi?!!!
Mkuu malizia kwanza dawa zako ndipo uje tena.
Kuipenda chadema ni sawa na kunywa sumu ili ufe huku unaona.
Hata baada ya kwenda India kuchokonolewa ubongo bado huna akili sawa sawa hiyo PHD yako thesisi nini kisima cha ufitini ha ha ha utalijua jiji hasiria mpak kati ya utosi unachukia chama kilichokufundisha kuvaa soksiSlaa kuiba mke wa watu.
Mbowe kumiliki casino inayofanyakazi ya kuuza miili ya dada zetu.
Slaa kujikopesha mij 140mali ya walalahoi.
Ugaidi wa kuua, kung'oa kucha,meno bila ganzi.
Slaa kufukuza wanachama wote wanaopingana na mawazo yake.
Kuandaa mkakati maridadi wa kumchafua Zitto ili kuishusha cqedit yake katika jamii.
Ulipofeli ukaratibiwa mwingine kumuua ikiwemo kulegeza taili za gari yake na kumnywesha sumu yote haya kayaratibu slaa.
Lema kubaka huko Uk na kuuza madawa ya kulevya hapo Arusha-tetesi kutoka kwa mateja wa Arusha.
Aisee ngoja niishie hapa ila hiki chama kimejaa damu za binadamu tu.
Hakuna shughuri yoyote zaidi ya kulipua mabomu watu.