Siipendi CHADEMA

Siipendi CHADEMA

Narudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda chadema kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.

1. Chadema imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.

Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii.

Mfano ni pale chadema inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi.

2. Chadema kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM.

Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm.

3. Chadema kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c

4. Kitendo kiovu kinachofanywa na chadema kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za chadema ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake chadema imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha ccm kutekeleza sera za chadema.

5. Chadema imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.

Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.

Kiongozi sina hakika kama ulikuwa sawa wakati unaandika hoja yao... ila kama umeandika ili uonekana umepost ni sawa...
 
Hivi yule Balali wa twitter mmeshamalizana nae nini!?? maana yuko kimya.. au mlishatuma vijana wa kazi wakamzamishe kwenye kisima afu uchunguzi uendelee...!??
Yupi yule wa Chadema mitandaoni?

Naona unatisha kujamba wakati unahara,yule dogo alietoka masjid alipigwa risasi na nani,vp mwangosi,dr.ulimboka,vp kule arumeru mlipo chinja mtu,rev.mushi nae umesahau..Mtataga tu mwaka huu tulia hapohapo dawa inaingia fish...

Kama unakubali kuwa mmewamwagia watu tindikali na kujilipua wenyewe kwa mabomu, mnashindwa nini kumuua MWANGOSI, KUMTESA ULIMBOKA na KIBANDA? Lengo si serikali ionekane inahusika? Mkuu watanzania wakanja sana, wameshawashtukia CDM hamna pa kujificha tena
 
Narudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda chadema kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.

1. Chadema imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.

Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii.

Mfano ni pale chadema inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi.

2. Chadema kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM.

Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm.

3. Chadema kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c

4. Kitendo kiovu kinachofanywa na chadema kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za chadema ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake chadema imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha ccm kutekeleza sera za chadema.

5. Chadema imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.

Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.
Mkuu malizia kwanza dawa zako ndipo uje tena.
 
Huwezi kuongozwa na heche then ukawa na sumu mfukoni ya kumuuwa zito halafu akiri yako ikafanya kazi vizuri.
Sio akiri,sema akili,mnatupa shida sana nyie vilaza,shule umetaga bado unataka kutaga kiliberal...
 
CHADEMA ndiyo wamewamaliza kabisa kwa maandamano, vurugu na bakuli za michango huku wao wanapaa na helikopta

Chadema wameiweka Arusha katika uwiano wa kujifaham na kuitambua haki yao, kuidai na kuthamini utu wao.

CCM wanasema mtakufa (mwigulu nchemba) kweli wanakufa watu, nani anayeuwa hapa kama sio ccm na mwigulu?

kama unafaidi kutoka bakuli la mafisadi wanaoiba kodi zetu kila siku utakuwa na laana maana sasa hata ya

taa/kerosine mmetupandishia bei. Ama kweli ccm ni janga mkuu.
 
Kama unakubali kuwa mmewamwagia watu tindikali na kujilipua wenyewe kwa mabomu, mnashindwa nini kumuua MWANGOSI, KUMTESA ULIMBOKA na KIBANDA? Lengo si serikali ionekane inahusika? Mkuu watanzania wakanja sana, wameshawashtukia CDM hamna pa kujificha tena

Serikali sikivu ya ccm iko safarini!?! afu bebifesi anatwambia ,PIGA tu.. ahahahaaa...ha ha haaa...
 
Nchemba kasema atakutumia hela kwa M-Pesa ukanunue,embu mcheki hewani kwa sasa..
Ndio lwakatare anavyowatumiaga nyie vijana wake?? Ona alivyomtosa ludo saivi anaozea jela mtoto wa watu, ona kilewo anavyoteseka sasa. Say no to tindikali na sumu
 
Mbona mwenyekiti wako akili yake ndogo anaongoza watu wenye phd na maprf.
Hapa ndipo unapoonyesha udhaifu wako wa kutambua mambo...

Kwa taarifa fupi tu kwako, ni kuwa kuna tofauti kubwa kati ya akili...na phd (PhD) au maprf.(Professors).
 
Back
Top Bottom