- Thread starter
- #181
mkuu falsafa yako imetulia sana
Asante mkuu, hawa chadema si wa kuwavumilia hata kidogo
mkuu falsafa yako imetulia sana
Kweli,tofauti na ccm ambalo ni genge la MAGAIDI,MAFISADI,WEZI na MAJANGILI wa kimataifa..
Ndio Mkuu kwa sababu naona anakufaa sana tu,kwa sababu nikiangalia picha yako na yake nilizozikuta sehemu flani naona naona mnaendana tena ni saizi yako kwelikweli au nikuwekee hapa mkuu uone?!
Tena mayai makubwa kama ya mbuni...Mwaka huu hadi utage! Dadeki...
Asante mkuu, hawa chadema si wa kuwavumilia hata kidogo
kumwagia watu tindikali, kulisha watu sumu na kuwatafta popote pale walipo hadi bar, kujilipua kwa mabomu ili uhurumiwe na wananchi, kutishia vikongwe na walemavu kwa bastola..wauwaji wakubwa na mungu atawalaani daima
Naskia baada ya katibu mrefu kumaliza meno ya tembo, akina Hu Jintao wamewaambia hata kucha na meno ni dili pia ndo maana wamebadili mwelekeo, inabidi tutengeneze HELMET za kuvaa kwenye vidole na mdomoni ili kulinda meno na kucha zetu..
Sawa tumekusikia Baba V ukimaliza pitisha boksi la kuomba mia mia halafu jirushie kale kabomuKweli,tofauti na ccm ambalo ni genge la MAGAIDI,MAFISADI,WEZI na MAJANGILI wa kimataifa..
Tena mayai makubwa kama ya mbuni...
Ukipigania haki za wananchi na taifa kwa ujumla umekuwa mwanaharakati,naona mmeshikwa pabaya,tulia dawa iingie utataga tu mwaka huu...Chadema inawanaharakati haina wanachama na zaidi imejaza magaidi.
Zilikuwa ngapi na zilitoka majimbo gani na vituo gani huna aibu kuongea mambo ya kusadikika na hii mantiki ya hoja mantiki ya hoja chadema haipendwi.Achana na Ubavicha swala la msingi hapa ni kura za nyongeza....
peleka up.u.mb.f wako magwanda mkubwa,hio lugha yako ya falsafa kamfumbe kiongozi wako anaeenda hija na k.m.a.d.a.
Sawa tumekusikia Baba V ukimaliza pitisha boksi la kuomba mia mia halafu jirushie bomu
Chama ambacho mwenyekiti wake ni proven DHAIFU, na waliyemwamini na kumpa uwaziri mkubwa amethibitishwa na mahakama kuwa kweli ni MP.UMBA.VU na katibu wake mkuu ni JANGILI KUU na naibu wake bara ni MASTERMIND wa mipango yote ya mauaji, utekaji, kumwagia watu tindikali,na kurusha mabomu mikutanoni ni chama chenye laana. waombe
MPU.MBA.VU lazima atakuwa anaongoza wapumbavu. Katika hili SUGU amezidi kudhihirisha kuwa kichwani hakuna kitu, ni MPU.MBA.VU sana, anamtUKANA waziri mkuu anayeongoza watanzania zaidi ya mil. 40 anataka kumaanisha watanzaia wote ni wapumbavu. HIVI CHADEMA MMeridhika kabisa SLAA KUTUMBUA fedha za chama na JOSEPHINE MSHUMBUZI huku mkiona wengine ndiyo watenda maovu? Hii ni akili gani? Mawazo ya wanachadema wengi ni matokeo ya watu wawili tu kubinya uhuri wa kuongea, na ndiyo maana wale wanaoshindwa kama akina SHONZA na MTELA wanapotoka huko huwaambia watanzania mambo ya hatari sana. Binafsi naona kama CCM ikishindwa kabisa kuongoza nchi bora JESHI likatwaa nchi kuliko mabepari, majambazi, wazinzi, watu wasiyomp na elimu hata ya kujitambua kuwa kutokana na nafasi walizonazo wanapaswa kuchagua maneno ya kuwatoka vinywani mwao
Zilikuwa ngapi na zilitoka majimbo gani na vituo gani huna aibu kuongea mambo ya kusadikika na hii mantiki ya hoja mantiki ya hoja chadema haipendwi.
Anauzoefu toka kwa maliberals,hawataki kuvunja ndoa yao na haki sawa,siunajua chama cha mrengo wa malawi....Aisee..! yatapitaje!?? ya mbuni makubwa sana ujue..!? au ana uzoefu tangu nyuma na shughuli hiyo..!?
Zilikuwa ngapi na zilitoka majimbo gani na vituo gani huna aibu kuongea mambo ya kusadikika na hii mantiki ya hoja mantiki ya hoja chadema haipendwi.
Ukipigania haki za wananchi na taifa kwa ujumla umekuwa mwanaharakati,naona mmeshikwa pabaya,tulia dawa iingie utataga tu mwaka huu...