Siipendi CHADEMA

Siipendi CHADEMA

Anauzoefu toka kwa maliberals,hawataki kuvunja ndoa yao na haki sawa,siunajua chama cha mrengo wa malawi....
Sema pole pole mkuu..hili neno waliberali likitajwa kuna watu wanaumwa.......
 
chadema hawafai kabisa wameongoza nchi tokea uhuru na sera zao feki ila upinzani chini ya mwigulu umefuchua maovu mengi
 
Aaah wapi.. na sisi tunaanzisha project kama ile yenu Lumumba, ila sisi itakuwa 2500/= si unajua hatuna vyanzo vya mapato ya kifisadi kama nyie chama kubwa...!

vipi ule ushahidi wa kujirushia bomu aliusema MAkengeza haujakamilika?
 
Aaah wapi.. na sisi tunaanzisha project kama ile yenu Lumumba, ila sisi itakuwa 2500/= si unajua hatuna vyanzo vya mapato ya kifisadi kama nyie chama kubwa...!
Kwa hiyo 2,500 unapata kete ngapi za mjani,halfu hii kitu ni ya Arusha kwa Lema au Iringa kwa Msigwa?
 
Bila samahani, sina mkuu, sina labda ufanye mawasiliano na wakemia wanaweza kukusaidia

Mwambie awasiliane na naibu katibu mkuu bara bwana Nchemberlain, nasikia ndo mtaalamu na Gairo kasaplai yeye...
 
Hata mimi siipendi chadema kwasababu inataka kuwakomboa watanzania
 
Nheee!
CHADEMA watibuaji wa dili za wakubwa hawa!
CHADEMA hawapendi nchi inayoendeshwa kifisadi itawalike!
CHADEMA wanataka watu wa kudharaulika kama walimu na manesi walipwe mshahara wa kuwafanya wawe na sauti na kiburi!
CHADEMA eti wanataka hadi mtoto wa kabwela pangu pakavu asome bure na aweze kufaa kwa ajira zilizoandaliwa kwa ajiri ya wanetu tu!
Ukiwaona popote..
PIGA TU,
UA TU..
Maana tumechoka kugombania vinono!
PIGA TU!
Tehe!
 
Kwa hiyo 2,500 unapata kete ngapi za mjani,halfu hii kitu ni ya Arusha kwa Lema au Iringa kwa Msigwa?

Sina uzoeu na bei za kete. tumuombe Ritz atusaidie.. ana experience...
 
Last edited by a moderator:
Ila maliberal inaivumilia hahahaaaaaa....
hivi CHADEMA mnafikiri mnaweza kuwabambikiza CUF ushoga wenu kirahisi hivyo? WENJE Mwenyewe aliyesema ushoga bungeni ni shoga na ukitaka kuthibitisha hilo miulize BONDIA MADA MAUGO kama utaweza kumpata.
 
Sema pole pole mkuu..hili neno waliberali likitajwa kuna watu wanaumwa.......
Joto la siku linawatoka hahahaaaaa,ujio wa obama yako macho arch-liberals na magamba watakuwa mstari wa mbele katika mapokezi
 
Chadema ulibelari unawahusu kwa 100% na wamevuka mipaka na kuufanyia promo bungeni kwa kuutaja taja baada ya kuupinga.
 
Back
Top Bottom