Siipendi CHADEMA

Siipendi CHADEMA

chadema hawafai kabisa wameongoza nchi tokea uhuru na sera zao feki ila upinzani chini ya mwigulu umefuchua maovu mengi

Mkuu umemtaja Mwigulu huogopi, au kareti zako zitakuokoa, mwenzio namalizia hii post nabadili IP address afu naondoka hapa kwa Gude naenda kujificha mjimwema. kucha zangu nazihitaji bado na sura yangu isijeharibiwa na tindikali...
 
Narudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda chadema kama haitajirekebisha. Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo. 1. Chadema imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama. Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii. Mfano ni pale chadema inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi. 2. Chadema kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM. Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm. 3. Chadema kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM. Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani. Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c 4. Kitendo kiovu kinachofanywa na chadema kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za chadema ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake chadema imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha ccm kutekeleza sera za chadema. 5. Chadema imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM. Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala. Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana. Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.
yaani umekaa umekosa hela ya kwenda kunywa ULANZI umekosa,umeona bora uandike huu uharo ulete hapa JF. P.UM.BA.V.U sana.
 
Ni kweli, chadema pia ilikwapua pesa pale B.o.T! Mwaka 2005 ili kumsaidia mgombea wao wa urais!
Umekosea mwaka,kipindi iko Gavana ni Mzee Mtei na karani Mbowe na majengo yakaungua baada ya kukwapua hazina ya taifa.

Narudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda chadema kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.

1. Chadema imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.

Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii.

Mfano ni pale chadema inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi.

2. Chadema kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM.

Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm.

3. Chadema kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c

4. Kitendo kiovu kinachofanywa na chadema kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za chadema ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake chadema imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha ccm kutekeleza sera za chadema.

5. Chadema imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.

Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.
......Umesomeka mkuu.......ila nina wasiwasi na mrejesho ya wale walio kwenye zile orodha....utawajua tu.....:clap2:
 
yaani umekaa umekosa hela ya kwenda kunywa ULANZI umekosa,umeona bora uandike huu uharo ulete hapa JF. P.UM.BA.V.U sana.

Una utani na waziri mpana!?? naona umemtaja kwa sifa yake kuu..
 
Ukipigania haki za wananchi na taifa kwa ujumla umekuwa mwanaharakati,naona mmeshikwa pabaya,tulia dawa iingie utataga tu mwaka huu...
Unapigania haki za watu kwa kuwamwagia tindikali na kuwalipua kwa mabomu,unajitekenya na kucheka mwenyewe.
 
Umekosea mwaka,kipindi iko Gavana ni Mzee Mtei na karani Mbowe na majengo yakaungua baada ya kukwapua hazina ya taifa.

Hivi yule Balali wa twitter mmeshamalizana nae nini!?? maana yuko kimya.. au mlishatuma vijana wa kazi wakamzamishe kwenye kisima afu uchunguzi uendelee...!??
 
hivi CHADEMA mnafikiri mnaweza kuwabambikiza CUF ushoga wenu kirahisi hivyo? WENJE Mwenyewe aliyesema ushoga bungeni ni shoga na ukitaka kuthibitisha hilo miulize BONDIA MADA MAUGO kama utaweza kumpata.
Tena ukome na kwambia..,sio maneno yangu bali kambi ya maliberal bungeni ukiungwa mkono na ******,haki sawa iliguswa
 
Kitu cha Arusha

CCm hawatakisahau kamwe, Umoja, mshikamano na zaid ukweli kwamba watu waarusha wanaichukia ccm kwa

kuukumbatia ufisadi na kushusha elimu na afya ya watanzania kuwa taabani kabisa.
 
Narudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda chadema kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.

1. Chadema imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.

Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii.

Mfano ni pale chadema inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi.

2. Chadema kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM.

Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm.

3. Chadema kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c

4. Kitendo kiovu kinachofanywa na chadema kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za chadema ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake chadema imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha ccm kutekeleza sera za chadema.

5. Chadema imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.

Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.
Hii ni akili ndogo ndiyo inaweza kuandika ujinga huu
 
Mkuu kuna vifaa maalum vimeshaingia nchini kwa ahili ya kupasua HELMET kwa hiyo haisaidii,kubwa ni wewe kuachana na ukuda tu!

Vifaa vyenye ncha kali vinavyosadikiwa kuruka kutoka upande usiojulikana!?? najua vitaniua mara moja tu kuliko hivi ninavyoendelea kufa taratibu kadri ccm inavyoendelea kuwa madarakani..
 
CCm hawatakisahau kamwe, Umoja, mshikamano na zaid ukweli kwamba watu waarusha wanaichukia ccm kwa

kuukumbatia ufisadi na kushusha elimu na afya ya watanzania kuwa taabani kabisa.
CHADEMA ndiyo wamewamaliza kabisa kwa maandamano, vurugu na bakuli za michango huku wao wanapaa na helikopta
 
Unapigania haki za watu kwa kuwamwagia tindikali na kuwalipua kwa mabomu,unajitekenya na kucheka mwenyewe.
Naona unatisha kujamba wakati unahara,yule dogo alietoka masjid alipigwa risasi na nani,vp mwangosi,dr.ulimboka,vp kule arumeru mlipo chinja mtu,rev.mushi nae umesahau..Mtataga tu mwaka huu tulia hapohapo dawa inaingia fish...
 
werevu tume kuelewa.....maneno yako yanafunza na yana mantiki, Mungu ibariki tanzania
 
Unajua kupagawa wewe mbona unajitukana hovyo,huwezi kuwa na sumu mfukoni halafu akiri ikawa nzuri pia haiwezekani.

Hebu nifafanulie hapo kwenye "akiri" au ndo madhara ya elimu chini ya serikali ya ccm..!??
 
Back
Top Bottom